Job Role Insights
-
Date posted
2023-07-18
-
Closing date
2023-07-18
-
Hiring location
Mwanza
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Junior
-
Qualification
Certificate Degree High School Certificate Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
Job Description
TANGAZO LA KAZI.
NAD INSURANCE AGENCY NI TAASISI INAYOSHUGULIKA NA HUDUMA ZA UWAKALA WA MITANDAO YA SIMU .
MAKAO MAKUU YA NAD INSURANCE AGENCY NI MWANZA, PIA KUNA OFISI ZA NAD INSURANCE AGENCY SEHEMU MBALI MBALI KANDA YA ZIWA.
NAD INSURANCE AGENCY KWA KUSHIRIKIANA NA VODACOM INAKULETEA FURSA YA KUPATA KIPATO CHA KUDUMU .
FURSA HII NI KUSAJILI LIPA NAMBA ZA VODACOM.UTALIPWA COMMISSION KWA KILA LIPA KWA SIMU UNATAKAYOSAJILI NA IMEFANYA MUAMALA.
KAZI HII UNAWEZA KUFANYA UKIWA POPOTE PALE NDANI YA NCHI YA TANZANIA.
VIGEZO
- UMRI KUANZIA MIAKA 18 -45.
- UWE NA AKILI TIMAMU.
- UWE NA TABIA NJEMA.
- UWE NA SIMU JANJA (SMART PHONE).
- UWE UNAJUA KUSOMA NA KUANDIKA.
- UWE UNAJUA KUFANYA MASOKO.
TUMA MAOMBI KWA MAWASILIANO:
MENEJA RASILIMALI WATU
NAD INSURANCE AGENCY
MWANZA
SIMU:0767 463 568
Email:[email protected]
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job