Arusha · Full Time
Closing: April 24, 2026 15 days left
JOB DESCRIPTION
JOB VACANCY: JUNIOR ACCOUNTANT
Company: Regnald & Associates Limited
Location: Arusha Mjini
Application Deadline: 20 April 2026
🔹 Job Summary
Regnald & Associates Limited inatafuta Junior Accountant mwenye bidii, umakini na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi ili kujiunga na timu yetu inayokua kwa kasi.
🔹 Key Responsibilities
Kufanya data entry za miamala ya kifedha kwa usahihi
Kusaidia katika maandalizi ya vitabu vya hesabu (bookkeeping)
Kuweka kumbukumbu sahihi za kifedha
Kusaidia shughuli nyingine za uhasibu kama utakavyoelekezwa
🔹 Qualifications & Requirements
Awe na Certificate au Diploma ya Accountancy au kozi nyingine inayohusiana
Awe na uzoefu katika accounting na ujuzi wa bookkeeping
Awe na ujuzi wa kutumia QuickBooks au software nyingine ya uhasibu
Awe makini, mwaminifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea
🔹 How to Apply
Waombaji wote watume maombi yao kupitia email:
📧 [email protected]
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 +255 620 362 656
JOB INFO
| Job ID | 130562 |
| Date Posted | April 8, 2026 |
| Closing Date | April 24, 2026 15 days left |
| Location | Arusha |
| Job Type | Full Time |
| Career Level | Junior |
| Qualification | Advanced Diploma |
| Experience | 1 Year |
| Quantity | 1 Person |
| Gender | Male |