The total number of job posts listed here for the High Court of Zanzibar (Mahkama Kuu Zanzibar - JoZ) is 46 posts in July 2026.
The precise departmental allocations across Unguja and Pemba verify a cumulative total of 46 positions. These roles are focused on expanding Sharia-based civil arbitration, regional district Kadhi courts, and formal judicial case management teams.
| Job Title | Posts |
| Unguja Openings | |
| Dereva Daraja la III (Driver Grade III) | 8 |
| Hakimu wa Mkoa (Regional Magistrate) | 7 |
| Kadhi wa Wilaya (District Kadhi) | 7 |
| Afisa Sheria Daraja la II (Legal Officer Grade II) | 6 |
| Msuluhishi Daraja la II (Mediator / Arbitrator Grade II) | 5 |
| Kadhi wa Mkoa (Regional Kadhi) | 3 |
| Pemba Openings | |
| Msuluhishi Daraja la II (Mediator / Arbitrator Grade II) | 6 |
| Afisa Sheria Daraja la II (Legal Officer Grade II) | 4 |
| Hakimu wa Mkoa (Regional Magistrate) | 3 |
| Kadhi wa Wilaya (District Kadhi) | 3 |
| Dereva Daraja la III (Driver Grade III) | 2 |
| Kadhi wa Mkoa (Regional Kadhi) | 2 |
| TOTAL POSTS | 46 |
MAHKAMA KUU ZANZIBAR
Vacancies: 12 | Latest closing: Jul 21, 2026 Apply
DEREVA -DARAJA LA III -PEMBA
Posts: 2 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSB 06
Duties and Responsibilities
- Kukagua gari aliyopangiwa kazi kabla ya kutumika kila siku.
- Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote.
- Kujaza (Log book) kabla ya kufanya safari alliyopangiwa.
- Kutoa taarifa kwa mkuu wake wa kazi juu ya haja ya kufanyiwa matengenezo gari baada ya kumjulisha tatizo la gari ambayo imepata maharibiko.
- Kuwa tayari kufanya safari yoyote ya kazi na kwa wakati atakaopangiwa na mkuu wake.
- Kuwa na kumbukumbu ya wakati wa gari kupelekwa garage kwa ajili ya kufanyiwa “General Service”.
Qualifications
Awe amehitimu kidatu cha Nne (F.IV)
Awe na leseni ya udereva inayotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Cheti cha Jeshi la Kujenga Uchumu (JKU) na mwenye ujuzi wa ufundi wa magari ni sifa ambazo zitapewa kipaombele.
Awe Mzanzibari.
DEREVA -DARAJA LA III -UNGUJA
Posts: 8 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSB 06
Duties and Responsibilities
- Kukagua gari aliyopangiwa kazi kabla ya kutumika kila siku.
- Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote.
- Kujaza (Log book) kabla ya kufanya safari alliyopangiwa.
- Kutoa taarifa kwa mkuu wake wa kazi juu ya haja ya kufanyiwa matengenezo gari baada ya kumjulisha tatizo la gari ambayo imepata maharibiko.
- Kuwa tayari kufanya safari yoyote ya kazi na kwa wakati atakaopangiwa na mkuu wake.
- Kuwa na kumbukumbu ya wakati wa gari kupelekwa garage kwa ajili ya kufanyiwa “General Service”.
Qualifications
Awe amehitimu kidatu cha Nne (F.IV)
Awe na leseni ya udereva inayotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Cheti cha Jeshi la Kujenga Uchumu (JKU) na mwenye ujuzi wa ufundi wa magari ni sifa ambazo zitapewa kipaombele.
Awe Mzanzibari.
MSULUHISHI DARAJA LA II -PEMBA
Posts: 6 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSE -10
Duties and Responsibilities
- Kupokea mgogoro kutoka mahkamani kwa ajili ya kusuluhisha.
- Kuwezesha mawasiliano baina ya wadaawa katika mgogoro.
- Kuainisha kiini cha mgogoro katika suluhu anayoisimamia, kutambua maeneo ya maelewano, pamoja na kuongoza majadiliano baina ya wadaawa kwa njia ya usawa na amani.
- Kuwasaidia wadaawa kufichua, au kuwaongoza katika, mbinu za kufikia suluhu inazoendana na viwango vya kisheria, mahitaji ya msingi katika mgogoro na maslahi ya pande zote.
- Kuwezesha pande zinazohusika na kesi mbele ya mahkama kufikia suluhu inayokubalika na pande zote bila ya kuendelea na kesi mahkamani.
- Kuandika masharti ya makubaliano iwapo wadaawa wamefikia suluhu ya amani, na kuyawasilisha mahakamani kwa lengo la kurekodiwa kama amri au hukumu ya mahkama.
- Kurejesha mgogoro mahkamani kwa kuendelea na kesi ya msingi iwapo wadaawa wameshindwa kufikia suluhu.
- Kulinda haki na usalama wa wadaawa kwa kuhakikisha usiri katika hatua zote za usuluhishi.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza au stashahada katika fani ya ushauri nasaha, saikolojia, elimu ya jamii au fani yoyote inayofanana na hizo kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya mapinduzi Zanzibar.
Awe na elimu na uzoefu katika sharia za kislamu
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
MSULUHISHI DARAJA LA II -UNGUJA
Posts: 5 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSE -10

AFISA SHERIA - DARAJA LA II -PEMBA
Posts: 4 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSE - 10
Duties and Responsibilities
- Kukaa na Jaji/ Hakimu wakati wa kuendesha kesi.
- Kutayarisha decree na drawn order pale kesi inapomalizika.
- Kutoa hati za wito (Summons) za kuwaita wahusika.
- Kutunza majalada yote ya kesi zinazoendeshwa na Jaji/Hakimu kwa kesi zinazoendelea na kumalizika.
- Kufanya utafiti wa kesi za awali na rufaa .
- Kufanya utafiti wa kisheria na kutoa ushauri.
- Kuingia Mahkamani, kurekodi mwenendo mzima wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri yanayosikilizwa na Jaji.
- Kuandika rasimu ya hukumu kwa kesi za awali na rufaa.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
AFISA SHERIA - DARAJA LA II -UNGUJA
Posts: 6 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPSE - 10
Duties and Responsibilities
- Kukaa na Jaji/ Hakimu wakati wa kuendesha kesi.
- Kutayarisha decree na drawn order pale kesi inapomalizika.
- Kutoa hati za wito (Summons) za kuwaita wahusika.
- Kutunza majalada yote ya kesi zinazoendeshwa na Jaji/Hakimu kwa kesi zinazoendelea na kumalizika.
- Kufanya utafiti wa kesi za awali na rufaa .
- Kufanya utafiti wa kisheria na kutoa ushauri.
- Kuingia Mahkamani, kurekodi mwenendo mzima wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri yanayosikilizwa na Jaji.
- Kuandika rasimu ya hukumu kwa kesi za awali na rufaa.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
KADHI WA WILAYA -PEMBA
Posts: 3 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS EX – 38
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai zinazohusiana na mambo ya kiislamu kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kusimamia upatikanaji wa mienendo ya kesi pamoja na utekelezaji wa Hukumu.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Kadhi.
- Kutoa ushauri kwa jamii kuhusiana na masuala mbali mbali yanayofikishwa katika Mahkama ya Kadhi.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sharia ya kiislamu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika fani ya Sharia
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
KADHI WA WILAYA -UNGUJA
Posts: 7 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS EX – 38
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai zinazohusiana na mambo ya kiislamu kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kusimamia upatikanaji wa mienendo ya kesi pamoja na utekelezaji wa Hukumu.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Kadhi.
- Kutoa ushauri kwa jamii kuhusiana na masuala mbali mbali yanayofikishwa katika Mahkama ya Kadhi.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sharia ya kiislamu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitatu katika fani ya Sharia
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
KADHI WA MKOA -PEMBA
Posts: 2 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS-EX -41
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai zinazohusiana na mambo ya kiislamu kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kusikiliza kesi za rufaa zinazotoka Mahkama za Kadhi za Wilaya.
- Kusimamia upatikanaji wa mienendo ya kesi pamoja na utekelezaji wa Hukumu.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Kadhi.
- Kutoa ushauri kwa jamii kuhusiana na masuala mbali mbali yanayofikishwa katika Mahkama ya Kadhi.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sharia ya kiislamu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano katika fani ya Sharia
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
KADHI WA MKOA -UNGUJA
Posts: 3 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS-EX -41
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai zinazohusiana na mambo ya kiislamu kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kusikiliza kesi za rufaa zinazotoka Mahkama za Kadhi za Wilaya.
- Kusimamia upatikanaji wa mienendo ya kesi pamoja na utekelezaji wa Hukumu.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Kadhi.
- Kutoa ushauri kwa jamii kuhusiana na masuala mbali mbali yanayofikishwa katika Mahkama ya Kadhi.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sharia ya kiislamu kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano katika fani ya Sharia
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
HAKIMU WA MKOA -PEMBA
Posts: 3 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS-EX - 41
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai, jinai pamoja rufaa kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kutoa amri mbali mbali za kimahkama anazoruhusiwa kisheria.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Mkoa.
- Kufuatilia na kuandaa majibu ya hoja mbali mbali zinazotokana na malalamiko ya wananchi kuhusiana na huduma za mahkama.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano katika fani ya Sheria
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari.
HAKIMU WA MKOA -UNGUJA
Posts: 7 | Closing: Jul 21, 2026 Apply | Period: 15/07/2026 - 21/07/2026 | Scale: ZPS-EX - 41
Duties and Responsibilities
- Kusikiliza kesi za madai, jinai pamoja rufaa kwa mujibu wa uwezo aliopewa kisheria.
- Kutoa amri mbali mbali za kimahkama anazoruhusiwa kisheria.
- Kuandaa taarifa zinazohusiana na usikilizaji wa mashauri mbali mbali katika Mahkama ya Mkoa.
- Kufuatilia na kuandaa majibu ya hoja mbali mbali zinazotokana na malalamiko ya wananchi kuhusiana na huduma za mahkama.
Qualifications
Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Sheria kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano katika fani ya Sheria
Uwezo wa kutumia Kompyuta ni sifa ya ziada itakayopewa kipaumbele.
Awe Mzanzibari
The High Court of Zanzibar is the highest trial and appellate court in the semi-autonomous archipelago of Zanzibar, operating within Tanzania's dual legal system. It holds both civil and criminal jurisdiction, while partnering with Kadhi's Courts that handle Islamic legal matters like marriage and inheritance.
- Location
- Zanzibar
- Website
- www.judiciaryzanzibar.go.tz