Nafasi za Kazi 4 Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

Kigoma Full Time

The total number of job posts listed here for the Kigoma Ujiji Municipal Council (Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji) is 4 posts in July 2026.

This local government recruitment targets central registry operations and fleet logistics support to improve municipal office management.

Job Title Posts
Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II (Records Management Assistant Grade II) 2
Dereva Daraja II (Driver Grade II) 2
TOTAL POSTS 4

MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II (RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT II)

Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

2 Positions

Application Period

17/07/2026 - 31/07/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kuorodhesha barua zinazoingia Masjala kwenye regista (incoming correspondence register)
  2. Kuorodhesha barua zinazotoka nje ya taasisi (outgoing correspondence register)
  3. Kusambaza majalada kwa Watendaji (action officers)
  4. Kupokea majalada  kwa Watendaji (action officers)
  5. Kupokea majalada yanayorudi masjala toka kwa Watendaji
  6. Kurudisha majalada kwenye shabaka/kabati la majalada(racks/filling cabinets) au mahali pengine yanapohifadhiwa
  7. Kufuatilia mzunguko wa majalada ndani ya Taasisi (file tracking)

Qualifications

Kuajiriwa mwenye amehitimu Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Kidato cha Sita (VI) aliyehitimu Stashahada (NTA level 6) katika fani ya Utunzaji Kumbukumbu kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali, mwenye ujuzi wa Kompyuta.

Remuneration

TGS C


DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji

2 Positions

Application Period

17/07/2026 - 31/07/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  4. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  5. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; na
  6. Kufanya usafi wa Gari;

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS B

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
+255 28 2802535