Nafasi za Kazi 157 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Tanzania Full Time

The Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development is a government ministry in Tanzania responsible for land administration, physical planning, and housing. It manages land use, issues titles, and guides sustainable community development.

The total number of job posts listed here for the Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development (Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi) is 157 posts in July 2026.

This major national land management expansion targets core urban planning, valuation, survey technology, real estate education, and administrative operations.

Job Title Posts
Afisa Ardhi Daraja la II (Land Officer Grade II) 40
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) 35
Dereva Daraja II (Driver Grade II) 22
Mkufunzi Ardhi Daraja la II (Land Tutor II - Land Management and Valuation) 15
Afisa Ardhi Msaidizi Daraja la II (Assistant Land Officer Grade II) 15
Fundi Sanifu Daraja la II Upimaji Ardhi (Land Survey Technician Grade II) 10
Mhasibu Daraja la II (Accountant Grade II) 10
Mkadiriaji Ujenzi Daraja la II (Quantity Surveyor Grade II) 5
Mkufunzi Ardhi Daraja la II (Land Tutor II - Real Estate, Finance and Investment) 2
Mkufunzi Msaidizi Ardhi (Assistant Land Tutor II - Land Management and Evaluation) 2
Mkufunzi Ardhi Daraja la II (Land Tutor II - Environmental Management) 1
TOTAL POSTS 157

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Vacancies:  |  Latest closing: 06/08/2026

MKADIRIAJI UJENZI DARAJA LA II (QUANTITY SURVEYOR GRADE II)

Posts: 5  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  • Kuandaa ratiba ya kazi, gharama za ujenzi (BOQ) na Hati za mikataba.
  • Kuanda makisio ya gharama za miradi ya Ujenzi.
  • Kukusanya takwimu na kufanya uchunguzi ( survey)ya  ukarabati  wa miradi ya Ujenzi
  • Kuandaa bajeti ya miradi ya ujenzi
  • Kuandaa taarifa za uthamini wa miradi ya ujenzi.
  • Kwa kushirikiana na Mkadiriaji ujenzi kuandaa taarifa fupi za ujenzi wa miradi.
  • Kushughulikia  masuala yote ya utawala wa fedha za miradi ,kuandaa hati / vibali maalumu vya ujenzi na mikataba.
  • Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi kutoka vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali katika fani inayohusiana na Ukadiriaji Ujenzi (quantity Surveryor) na awe amesajiliwa na Bodi inayosimamia Taaluma hii ya Ukadiriaji Ujenzi.(AQRB)

Apply for this position


MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

Posts: 35  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • ii. Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  • iii. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • iv. Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;.
  • v. Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • vi. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • vii. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kaz

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


AFISA ARDHI DARAJA LA II (LAND OFFICER II)

Posts: 40  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  • Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
  • Kutoa ushauri kwa wateja;
  • Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
  • Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo vya majumba na michoro;
  • Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
  • Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
  • Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu katika fani ya Usimamizi ardhi na Uthamini au Shahada ya Sheria kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


FUNDI SANIFU DARAJA LA II UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II)

Posts: 10  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS.C

Duties and Responsibilities

  • Kupanga na kuandaa mahitaji ya kambi za upimaji vifaa vya upimajoi na mahitaji ya jumla
  • Kufanya upimaji wa awali na kusimika ardhini alama za upimaji
  • Kufanya upimaji na kukusanya taarifa na takwimu zote za upimaji
  • Kuchora “Sketch” ya mchoro ya upimaji
  • Kufanya mahesabu ya upimaji

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au cha sita wenye cheti cha mafunzo ya ufundi ya miaka miwili katika fani za upimaji ardhi kutoka kwenye vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II LAND MANAGEMENT AND VALUATION)

Posts: 15  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS D

Duties and Responsibilities

  • i. To teach up to NTA level 6 and may assist teaching in higher NTA levels;
  • ii. To administer examinations up to NTA level 6
  • iii. To conduct and support research and consultancy works;
  • iv. To prepare learning resources;
  • v. To supervise field training;
  • vi. To supervise and assists junior staff.
  • vii. To perform any other related duties as assigned by superiors.

Qualifications

Bachelor Degree or equivalent qualification Land Management and Valuation with a minimum GPA of 3.0 out of 5.0.

Apply for this position


DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

Posts: 22  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS B

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
  • Kufanya usafi wa gari;
  • Na kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II - REAL ESTATE, FINANCE AND INVESTMENT)

Posts: 2  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  • i.         Kufundisha.
  • ii.       Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (Projects).
  • iii.     Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje.
  • iv.     Kutoa ushauri wa kiufundi na kitaalam.
  • v.      Kuendesha tafiti na ushauri.
  • vi.     Kuandaa taarifa za tathmini na mapedekezo ya mitaala ya masomo.

Qualifications

uajiriwa muhitimu mwenye Shahada ya Kwanza katika mojawapo ya fani zifuatazo; Usimamizi wa Milki na Nyenzo (Bachelor of Science in Properties and Facilities Management -BSc.PFM), Fedha na Uwekezaji katika Milki Kuu (Bachelor of Science in Real Estate Finance and Investment (BSc.REFI), Sayansi ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini (Bachelor of Science in Land Management and Valuation - BSc.LMV) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0

Apply for this position


MKUFUNZI ARDHI DARAJA LA II (LAND TUTOR II - ENVIRONMENTAL MANAGEMENT)

Posts: 1  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  • i. Kufundisha
  • ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)
  • iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani na nje
  • iv. Kuendesha tafiti na ushauri
  • v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo

Qualifications

Kuajiriwa wenye Shahada ya Usimamizi wa Mazingira (Environmental Management) kutoka kwenye Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0.

Apply for this position


MKUFUNZI MSAIDIZI ARDHI (ASSISTANT LAND TUTOR II - LAND MANAGEMENT AND EVALUATION)

Posts: 2  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS D

Duties and Responsibilities

  • i. Kufundisha
  • ii. Kutoa ushauri kwa wanachuo katika kazi maalum (projects)
  • iii. Kusimamia na kuongoza wanachuo katika kazi za darasani nan je.
  • iv. Kuendesha tafiti na ushauri
  • v. Kuandaa taarifa za tathmnini na mapendekezo ya mitaala ya masomo

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Stashada ya Usimamizi wa Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali wenye GPA isiyopungua 3.0

Apply for this position


MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

Posts: 10  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS E

Duties and Responsibilities

  • Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
  • Kuandika taarifa za maduhuli;
  • Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
  • Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
  • Kukagua hati za malipo; na
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.

Apply for this position


AFISA ARDHI MSAIDIZI DARAJA LA II (ASSISTANT LAND OFFICER II)

Posts: 15  |  Closing: 06/08/2026  |  Period: 24/07/2026 - 06/08/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta;
  • Kutoa ushauri kwa wateja;
  • Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa utekelezaji.
  • Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua kumbukumbu, picha taarifa, vipimo vya majumba na michoro;
  • Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi;
  • Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati (deed plan);
  • Kuagiza plani za Hati (Deed Plan).

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au cha Sita, wenye Stashahada (NTA Level 6) katika mojawapo ya fani zifuatazo; Land Management and Valuation, Law kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
+255 26 296 3313 | +255 296 3314
Location
Dodoma, Tanzania