Nafasi za Kazi 4 Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar (MoTH)

Zanzibar Full Time

The total number of job posts listed here for the Ministry of Tourism and Heritage / Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale (Ministry of Tourism and Heritage - MoTH) is 4 posts in August 2026.

This cultural heritage preservation and archaeological research intake targets heritage conservation, terrestrial research, and historic site management across Pemba and Unguja.

Job Title / Specialization Posts
Akiolojia Daraja la II (Archaeology Officer Grade II) – Unguja 3
Akiolojia Daraja la II (Archaeology Officer Grade II) – Pemba 1
TOTAL POSTS 4

WIZARA YA UTALII NA MAMBO YA KALE

Vacancies: 2  |  Latest closing: Aug 13, 2026 Apply

AKIOLOJIA DARAJA LA II-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: Aug 13, 2026 Apply  |  Period: 31/07/2026 - 13/08/2026  |  Scale: ZPSE-10

Duties and Responsibilities

  • 1. Kufanya tafiti mbalimbali zilizopo ardhini.
  • 2. kuandaa mikakati ya uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa urithi wa utamaduni uliopo.
  • 3. Kutoa taarifa na uelewa juu ya urithi uliopo.
  • 4. Kuandaa ripoti juu ya urithi uliopo.
  • 5. Kuandaa maelezo ya maeneo ya urithi uliopo.

Qualifications

1. Awe Mzanzibar.

2. Mwenye umri usiozidi miaka 45.

3. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya  Akiolojia na Historia kutoka katika Chuo kinacotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position


AKIOLOJIA DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 3  |  Closing: Aug 13, 2026 Apply  |  Period: 31/07/2026 - 13/08/2026  |  Scale: ZPSE-10

Duties and Responsibilities

  • 1. Kufanya tafiti mbalimbali zilizopo ardhini.
  • 2. Kuandaa mikakati ya uhifadhi, usimamizi na uendelezaji wa uridhi wa utamaduni. uliopo ardhini.
  • 3.Kutoa taarifa na uelewa juu ya urithi uliopo.
  • 4. Kuandaa ripoti juu ya urithi uliopo.
  • 5. Kuandaa maelezo ya maeneo ya urithi uliopo

Qualifications

1. Awe Mzanzibar.

2. Mwenye umri usiozidi miaka 45.

3. Awe amehitimu Shahada ya Kwanza katika fani ya Akiolojia na Historia kutoka katika Chuo kinachotambulikana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

Get in touch

Location
Zanzibar, Tanzania