Nafasi za Kazi 6 Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar

Zanzibar Full Time

The total number of job posts listed here for the President's Office - Constitution, Legal Affairs, Public Service and Good Governance (Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar) is 6 posts in August 2026.

This electronic HR and payroll software management system recruitment targets network administration, system analysis, and full-stack software development for public service operations in Unguja.

Job Title / Specialization Posts
Msanifu wa Mfumo wa mbele (Frontend Developer) Daraja la II – Unguja 2
Msanifu wa Mfumo wa Ndani (Backend Developer) Daraja la II – Unguja 2
Msimamizi wa Mifumo ya Mtandao (Network Administrator) Daraja la II – Unguja 1
Mchambuzi wa Mifumo (System Analyst) Daraja la II – Unguja 1
TOTAL POSTS 6

OFISI YA RAIS - KATIBA SHERIA UTUMISHI NA UTAWALA BORA

Vacancies: 6  |  Latest closing: Aug 16, 2026 Apply

Msimamizi wa Mifumo ya Mtandao ( Network Administrator) Daraja la II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Aug 16, 2026 Apply  |  Period: 03/08/2026 - 16/08/2026  |  Scale: ZPSG - 08

Duties and Responsibilities

  • Kutunza taarifa za Watumishi wa Umma katika Mfumo wa Kielektroniki (Human Resource Payroll Management Information System);
  • Kutoa msaada wa kitaalamu kwa Watumiaji wa Mfumo wa uwekaji wa taarifa za watumishi wa umma katika Taasisi za umma;
  • Kufanya tathmini na kutoa taarifa za kiufundi katika Mfumo wa uwekaji wa taarifa za watumishi (Database;)
  • Kuweka na kuimarisha usalama katika mfumo wa uwekaji wa taarifa za watumishi wa umma;
  • Kuhakikisha kuwa Mfumo wa kuhifadhia taarifa za Watumishi wa Umma unafanyiwa tathmini;
  • Kushauri namna bora zaidi ya kuimarisha Mfumo wa Uwekaji wa Taarifa za Watumishi wa Umma katika Mfumo wa Kielektroniki;
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na lengo la kuanzishwa kwa mfumo ili uendane na mabadiliko ya Teknolojia yanayotokea ulimwenguni.

Qualifications

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45

Awe amehitimu shahada ya kwanza fani ya Computer Science au fani yoyote inayolingana na kazi.

Awe na ujuzi na uzoefu wa Mifumo ya Kielektroniki.

Apply for this position

Msanifu wa Mfumo wa mbele ( Frontend Developer) Daraja la II-UNGUJA

Posts: 2  |  Closing: Aug 16, 2026 Apply  |  Period: 03/08/2026 - 16/08/2026  |  Scale: ZPSG - 08

Msanifu wa Mfumo wa Ndani ( Backend Developer) Daraja la II-UNGUJA

Mchambuzi wa Mifumo ( System Analyst) Daraja la II-UNGUJA

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
+255 024 2230038
Location
Zanzibar, Tanzania