Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba is the administrative headquarters and regional government office for the South Pemba Region in Zanzibar, Tanzania. It is the seat of the Regional Commissioner, serving as the central hub for coordinating government operations, development projects, and public services for the region.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba
Vacancies: 1 | Latest closing: Jun 1, 2026 Apply
Afisa Sheria Daraja la II-PEMBA
Posts: 1 | Closing: Jun 1, 2026 Apply | Period: 19/05/2026 - 01/06/2026 | Scale: ZPSE-10
Duties and Responsibilities
- Kutoa Ushauri wa kisheria kila unapohitajika.
- Kutoa ufafanuzi wa Sheria, Kanuni na Miongozo mbali mbali.
- Kuandaa na kushughulikia nyaraka za kisheria.
- Kuhifadhi kumbukumbu na majalada ya kesi.
- Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.
Qualifications
Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
Awe amehitimu Shahada ya kwanza ya Sheria (Law) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali
Awe amehitimu mafunzo ya Sheria kwa vitendo kutoka Skuli ya Sheria au kutoka vyuo vyengine vinavyotambulika rasmi.
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba is the administrative headquarters and regional government office for the South Pemba Region in Zanzibar, Tanzania. It is the seat of the Regional Commissioner, serving as the central hub for coordinating government operations, development projects, and public services for the region.
- Location
- Zanzibar
- Website
- www.kusinipembasmz.go.tz