Junior Accountant

Dar es Salaam Full Time

Company: Regnald & Associates Limited
Location: Arusha, Dar Es Salaam and Mpanda
Application Deadline: 25 July 2026

Job Summary

Regnald & Associates Limited inatafuta Junior Accountant mwenye bidii, umakini na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi ili kujiunga na timu yetu inayokua kwa kasi.

Key Responsibilities

  • Kufanya data entry  kwa usahihi
  • Kusaidia katika maandalizi ya vitabu vya hesabu (bookkeeping)
  • Kuweka kumbukumbu sahihi za kifedha
  • Kusaidia shughuli nyingine za uhasibu kama utakavyoelekezwa

Qualifications & Requirements

  • Awe na Certificate au Diploma ya Accountancy au kozi nyingine inayohusiana
  • Awe na uzoefu katika accounting na ujuzi wa bookkeeping
  • Awe na ujuzi wa kutumia QuickBooks au software nyingine ya uhasibu
  • Awe makini, mwaminifu na mwenye uwezo wa kufanya kazi kwa kujitegemea

Waombaji wote watume maombi yao kupitia email: [email protected]

Kwa mawasiliano zaidi: +255 672 966 505

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
255672966505