Transit Driver

Dar es Salaam Full Time

Simera Transport Limited

Position: Madereva wa Transit

Simera Transport Limited inatafuta Madereva wa Transit wenye uzoefu kujiunga na timu yetu.

Vigezo

  • Awe na uzoefu wa kuendesha malori aina ya FAW na HOWO.
  • Awe na uwezo wa kuendesha malori ya manual.
  • Awe na leseni halali ya udereva.
  • Awe na passport halali.
  • Awe na uzoefu wa safari za transit/masafa marefu.
  • Awe mwenye uwajibikaji, nidhamu na anayezingatia usalama barabarani.

Jinsi ya Kutuma Maombi

Tuma CV yako kupitia:

Email: [email protected]
Simu/Message: 0677098557

Additional Contact

[email protected]

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
+255 69 752 4944
Location
Dar es salaam, Tanzania