Nafasi za Kazi 2 Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar (POFP)

Zanzibar Full Time

The total number of job posts listed here for the President's Office, Finance and Planning Zanzibar (Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar - POFP) is 2 posts in October 2026.

This public service recruitment targets engineering professionals to oversee electrical systems maintenance, building inspections, construction project management, and cost estimations across ministry facilities in the Unguja region.

Job Title / Specialization Posts
Mhandisi Umeme Daraja la II - Unguja (Electrical Engineer Grade II) 1
Mhandisi Ujenzi Daraja la II - Unguja (Civil Engineer Grade II) 1
TOTAL POSTS 2

OFISI YA RAIS, FEDHA NA MIPANGO

Vacancies: 2  |  Latest closing: Oct 16, 2026 Apply

MHANDISI UMEME DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Oct 16, 2026 Apply  |  Period: 02/10/2026 - 16/10/2026  |  Scale: ZPSI-01

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi chini ya Uangalizi wa Mhandisi aliyesajiliwa na bodi ya usajili ya Wahandisi kama “Professional Engineer” ili kupata uzoefu unaotakiwa.
  • Kuandaa makisio ya gharama ya matengenezo ya vyombo vya umeme.
  • Kukusanya taarifa na takwimu za vifaa vya umeme ndani ya Majengo.
  • Kupitia mapendekezo ya miradi (Project Proposals) za masuala yanayohusu ufundi umeme.
  • Kufanya kazi nyengine zinzolingana na majukumu yake kamaa atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe amehitimu shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Umeme kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46

Apply for this position


MHANDISI UJENZI DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Oct 16, 2026 Apply  |  Period: 02/10/2026 - 16/10/2026  |  Scale: ZPSI-01

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi za ukaguzi wa majengo mbali mbali ambayo yapo chini ya usimamizi wa Wizara ya Fedha na Mipango.
  • Kuchunguza vyanzo vya hatarishi vya uharibifu wa majengo.
  • Kufuatilia utekelezaji wa sheria na kanuni za ujenzi wa majengo.
  • Kusimamia na kuratibu kazi za ujenzi wa majengo zinazotolewa kwa  wakandarasi.
  • Kuandaa makisio ya gharama ya matengenezo ya Majengo.
  • Kutoa ushauri wa usimamizi bora ya majengo ya Wizara
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake.

Qualifications

Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Ujenzi kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Awe mwenye umri usiozidi miaka 46

Apply for this position

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
+255 242 2343342​
Location
Zanzibar, Tanzania