Nafasi za Kazi 13 Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe

Njombe Full Time

The total number of job posts listed here for the Wanging'ombe District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe) is 13 posts in September 2026.

This local government recruitment targets driver operations, office management secretarial services, and deckhand auxiliary support for fisheries.

Job Title / Specialization Posts
Dereva Daraja II (Driver II) 7
Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (Office Management Secretary Grade II) 5
Mhudumu wa Boti (Deckhand Auxiliary) 1
TOTAL POSTS 13

Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe

Vacancies: 13  |  Latest closing: 20/09/2026

MHUDUMU WA BOTI (DECKHAND AUXILLIARY)

Posts: 1  |  Closing: 20/09/2026  |  Period: 08/09/2026 - 20/09/2026  |  Scale: TGOS A

Duties and Responsibilities

  • Kuangalia usalama wa boti za Uvuvi;
  • Kufanya usafi wa boti za Uvuvi;
  • Kutunza usafi wa zana za uvuvi na vyombo vya kuhifadhia samaki;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya zana za uvuvi; na
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV na wenye Cheti cha mafunzo ya Teknolojia ya Uvuvi kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Meli kutoka Chuo cha Ubaharia cha Dar es Salaam – DMI au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

Posts: 5  |  Closing: 20/09/2026  |  Period: 08/09/2026 - 20/09/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawadia na za siri;
  • Kupokea wageni na kuwasikiza shida zao na kuwaelekeza wanapoweza kusaidiwa;
  • Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  • Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  • Kupokea majalada na kusambaza kwa Maofisa waliokatika Idara/Kitengo/Sehemu husika;
  • .Kukusanya, kutunza na kuyerejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  • Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mablimbali;
  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi; naix.Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa Wahitimu wa Kidato cha Nne (Form Four) au Kidato cha Sita (Form Six) wenye Stashahada (NTA Level 6) ya Uhazili (Secretarial Studies). Aidha, wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 (80.w.p.m) kwa dakika moja na kupata mafunzo ya programu za kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powepoint, Internet, E-mail na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position


DEREVA DARAJA II (DRIVER II)

Posts: 7  |  Closing: 20/09/2026  |  Period: 08/09/2026 - 20/09/2026  |  Scale: TGS B

Duties and Responsibilities

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  • Kuwapeleka Watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;
  • Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;
  • Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  • Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali; na
  • Kufanya usafi wa Gari;

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

Get in touch

Email
[email protected]
Phone
0784 705 044
Location
Njombe, Tanzania