Nafasi za Kazi 4 Shirika la Magazeti Zanzibar

Zanzibar Full Time

The Zanzibar Newspapers Corporation, officially known as Shirika la Magazeti Zanzibar, is the state-owned media enterprise established under the Zanzibar Government Newspaper Corporation Act No. 11 of 2008. The corporation is headquartered in Zanzibar, with construction on its permanent headquarters in Tunguu officially launched to boost operational capacity.

The total number of job posts listed here for the Zanzibar Newspapers Corporation (Shirika la Magazeti Zanzibar) is 4 posts in May 2026.

Job Title Posts
Afisa Msaidizi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II - Unguja (Assistant ICT Officer Grade II / Graphic Designer) 1
Afisa Uhusiano wa Kimataifa Daraja la II - Unguja (International Relations Officer Grade II) 1
Afisa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Daraja la II - Unguja (ICT Officer Grade II / Creative Designer) 1
Afisa Utawala Daraja la II - Unguja (Administrative Officer Grade II) 1
TOTAL POSTS 4

SHIRIKA LA MAGAZETI ZANZIBAR

Vacancies: 4  |  Latest closing: Jul 7, 2026 Apply

AFISA MSAIDIZI TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO. DARAJA LA II -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jul 7, 2026 Apply  |  Period: 28/05/2026 - 07/07/2026  |  Scale: ZPSE-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi:
  • Kusanifu magazeti ya shirika na kuyaweka katika ubora unaohitajika.
  • Kupanga kurasa za magazeti katika ubora unaotakiwa kabla ya kuchapishwa.
  • Kubuni njia mbadala ya kuyapendezesha magazeti ya shirika na kuwa katika kiwango bora.
  • Kusanifu majarida yanayochapishwa na Shirika
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Sifa za muombaji:

Awe Mzanzibari

Asiwe Muajiriwa wa Serikali

Awe amemaliza Stashahada katika fani ya Teknolojia ya Habari (IT) kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na uwezo wa kusanifu gazeti na matangazo kwa kutumia program maalumu ya “Adobe Indesign na Photoshop”.

Awe na umri usiozidi miaka 40.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta maalum kwa ajili ya kusanifu gazeti na matangazo.

Uzoefu wa kazi za usanifu na utayarishaji wa majarida utazingatiwa kama ni sifa ya ziada.

Apply for this position


AFISA UHUSIANO WA KIMATAIFA. DARAJA LA II -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 7, 2026 Apply  |  Period: 28/05/2026 - 07/06/2026  |  Scale: ZPSE-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi.
  • Kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia, kibiashara, habari na mawasiliano baina ya Shirika na wadau ndani na nje ya nchi.
  • Kuhakikisha kuwa shirika linaongeza wateja katika ununuzi wa gazeti na bidhaa nyengine pamoja na kuwabakisha waliopo ili malengo ya ukusanyaji mapato yaliyopangwa yafikiwe kwa ufanisi.
  • Kusaidia kupanga itifaki, malazi na usafiri kwa wafanyakazi na wageni wa shirika.
  • Kusaidia utayarishaji wa semina, makongamano, mikutano pamoja na vipindi vya kutoa habari kwa umma,
  • Kushiriki katika usambazaji wa vipeperushi, Makala, majarida na matoleo yanayochapishwa na shirika,
  • Kusaidia kufanya uchambuzi na uchunguzi kwa malalamiko kwa wadau na wananchi yaliyowasilishwa .
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Sifa za Mwombaji.

Awe Mzanzibari

Asiwe Muajiriwa wa Serikali

Awe na umri usiozidi miaka 40.

Awe amemaliza Shahada ya Kwanza katika fani ya Uhusiano wa Kimataifa, Uhusiano wa Umma, Mawasiliano ya Umma au fani inayolingana kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza kwa ufasaha.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.

Apply for this position


AFISA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO DARAJA LA -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 7, 2026 Apply  |  Period: 28/05/2026 - 07/06/2026  |  Scale: ZPSG-06

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi:
  • Kusanifu magazeti ya shirika na kuyaweka katika ubora unaohitajika.
  • Kupanga kurasa za magazeti katika ubora unaotakiwa kabla ya kuchapishwa.
  • Kubuni njia mbadala ya kuyapendezesha magazeti ya shirika na kuwa katika kiwango bora.
  • Kusanifu majarida yanayochapishwa na Shirika
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Sifa za muombaji:

Awe Mzanzibari

Asiwe Muajiriwa wa Serikali

Awe amemaliza Shahada ya Kwanza katika fani ya Sanaa na Ubunifu (Fine Arts and Design) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na uwezo wa kusanifu magazeti pamoja na matangazo kwa kutumia program maalumu ya “Adobe Indesign na Photoshop”.

Awe na umri usiozidi miaka 40.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta maalum kwa ajili ya kusanifu gazeti na matangazo.

Uzoefu wa kazi za usanifu na utayarishaji wa majarida utazingatiwa kama ni sifa ya ziada.

Apply for this position


AFISA UTAWALA DARAJA LA II -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: Jun 7, 2026 Apply  |  Period: 28/05/2026 - 07/06/2026  |  Scale: ZPSE-10

Duties and Responsibilities

  • Majukumu ya Kazi:
  • Kuweka kumbukumbu za matokeo muhimu kazini.
  • Kuainisha kuchambua na kushauri kuhusu matatizo ya Wafanyakazi.
  • Kusimamia nidhamu ya Wafanyakazi.
  • Kusimamia utekelezaji wa Sheria, Sera, Kanuni na taratibu mbali mbali Serikalini kutegemea na mahali alipo.
  • Kusimamia kazi za Utawala na Uendeshaji katika Ofisi za Serikali.
  • Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka na kuziwasilisha.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake.

Qualifications

Sifa za Muombaji

Awe Mzanzibari

Asiwe Muajiriwa wa Serikali

Awe amemaliza Shahada ya Kwanza ya Utawala wa Umma (Public Administration) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha.

Awe na umri usiozidi miaka 40.

Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta kwa ufasaha.

Uzoefu wa kazi za kiutawala na uandishi wa ripoti hasa kwa lugha ya kiingereza utazingatiwa kama sifa ya ziada.

Apply for this position