Mfanyakazi wa kufanya pedicure na manicure
69 (views)
Job Role Insights
-
Date posted
2024-02-07
-
Closing date
2024-03-08
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Quantity
1 person
-
Gender
male
-
Job ID
20827
Job Description
Tunahitaji mfanyakazi wa kufanya pedicure na manicure, mwenye uzoefu atakayefanya kazi katika ofisi yetu iliyoko eneo la Goba center - Kinondoni, Dar es salaam.
Sifa za mwombaji.
1.pedicure na manicure.
Kama una vigezo au una mtu mwenye vigeo vilivyotajwa hapo juu, Tupigie kupitia namba +255676566879 kwa maelezo zaidi
Skills
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job
