• Direction: Faya • Document: Title deed • Price: USD 150,000 . ✓ limejengwa uani nyuma ya ghorofa kubwa/kuu ✓ kila apartment ina vyumba 2 chumba 1 master, sebule, jiko na public washroom ✓ haina balcony ila kuna nafasi ya kuanikia nguo juu kwenye roof ✓ kuna maji ya kisima na dawasa
TZS 380,000,000
2 months agoHouses - Apartments for SaleUsedSell96 people viewed
• Direction: Goba Njia Nne mtaa wa Lalata • Condition: Nzuri ya kuhamia • Plot status: Pamepimwa na kupandikizwa mawe • Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200 • Document: Barua ya mauziano • Price: TZS milioni 170 • Kupelekwa kuona: TZS 30,000 . Kila nyumba ina: ✓ vyumba vyote master; sebule; jiko; common washroom ✓ maji na umeme ✓ mita 800 kutoka lami ya kuel...
TZS 170,000,000
2 months agoHouses - Apartments for SaleUsedSell124 people viewed
Viwanja vipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Bei inaanzisa sh 5000 kwa sqm moja Unaweza lipa kwa awamu, karibuni sana. Ukubwa unaanzia sqm 400 nakuendelea
Viwanja vinauzwa Kigamboni dege na mwongozo. Viwanja vipo umbali wa mita 200 kutoka lami. Bei kwa sqm moja ni 25,000 kama unalipa kwa awamu na ukilipa zote kwa pamoja unapata offer kwa tsh 22,000. Karibu sana, viwanja vyote vimepimwa