The National Audit Office of Zanzibar is officially known as the Office of the Controller and Auditor General of Zanzibar (OCAGZ). It is an independent public institution that checks how government money is spent to build trust and clear rules.
The total number of job posts listed here for the National Audit Office of Zanzibar / Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) is 1 post in July 2026.
This specialized civil engineering audit deployment is stationed in Unguja to carry out performance audits on public construction projects, infrastructure valuations, and structural cost estimations.
| Job Title | Posts |
| Mkadiriaji Majengo (Quantity Surveyor) Daraja la II – Unguja | 1 |
| TOTAL POSTS | 1 |
OFISI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI (CAG)
Vacancies: 1 | Latest closing: Aug 7, 2026 Apply
Mkadiriaji Majengo (Quantity Surveyor) Daraja la II -UNGUJA
Posts: 1 | Closing: Aug 7, 2026 Apply | Period: 23/07/2026 - 07/08/2026 | Scale: ZPSJ-01
Duties and Responsibilities
- Kufanya kazi kama Mkaguzi wa Ufanisi na kuwa na jukumu la kufanya Kaguzi za Ufanisi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo programu na miradi mbalimbali ya maendeleo katika ukadiriaji na uthamini wa majengo.
- Kusaidia katika kutambua maeneo yanayoweza kufanyiwa Ukaguzi wa ufanisi kwa kuweza kukadiria majengo yanayojengwa kupitia miradi mbali mbali pamoja na kutunza kumbukumbu na taarifa za miradi hiyo.
- Kusaidia katika uandaaji wa mipango kazi ya Kaguzi za Ufanisi kuhusiana na miradi ya ujenzi na kufanya tathmini ya majengo.
- Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya ukaguzi wa ufanisi.
- Kukusanya taarifa na nyaraka za ukaguzi kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa ufanisi kuhusu ukadiriaji wa majengo.
- Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za ujumla za ukaguzi wa ufanisi kuhusu tathmini ya majengo.
- Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya kaguzi za ufanisi zilizofanyika.
- Kusaidia katika uandaaji wa taarifa za ufuatiliaji wa mapendekezo ya kaguzi za ufanisi; pamoja na
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
Qualifications
Awe ni Mzanzibari.
Awe na Shahada/Stashahada ya Juu ya kuhusiana na uhandisi wa ukadiriaji wa majengo Uhandisi (Bachelor of Science in Building Economics, Bachelor of Science in Quantity Surveying and Construction Economics) au fani nyengine zinazoshabihiana moja kwa moja na fani hizo kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Awe na umri usiozidi miaka 46
Barua za maombi ziwasilishwe na mambo yafuatayo:-
Maelezo binafsi ya muombaji (CV).
Vivuli vya vyeti vya kumalizia masomo na kwa aliyesoma nje ya Tanzania anatakiwa kuambatanisha kivuli cha cheti cha uthibitisho kutoka TCU.
Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
Kivuli cha kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi.
Picha ya rangi ya muombaji ya karibuni (Current Colored Passport Size Picture).
The Office of the Controller and Auditor General of Zanzibar (OCAGZ) is the supreme independent audit institution of the Revolutionary Government of Zanzibar, responsible for promoting public accountability, transparency, and proper management of public funds.
Core Responsibilities
- Public Auditing: Auditing the accounts, financial statements, and financial management of all government ministries, departments, public enterprises, and authorities.
- Financial Oversight: Ensuring the lawful collection, safe custody, and authorized usage of public revenues and expenditures.
- Reporting: Submitting independent audit reports directly to the President and the House of Representatives to facilitate legislative oversight.
Legal Mandate
- Constitution: Established under Article 112 of the Zanzibar Constitution of 1984.
- Statutes: Operates under supporting public finance and audit laws governing national financial transparency and accountability frameworks.
- Location
- Zanzibar
- Website
- www.ocagz.go.tz/