Nafasi za Kazi 9 Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA)

Zanzibar Full Time

The total number of job posts listed here for the Vocational Training Authority Zanzibar (Mamlaka ya Mafunzo ya Amali) VTA is 9 posts in May 2026.

Job Title Posts
Mkufunzi wa Ujasiriamali Daraja la II - Unguja (Entrepreneurship Instructor Grade II) 1
Mkufunzi Ujasiriamali Daraja la II - Pemba (Entrepreneurship Instructor Grade II) 1
Mkufunzi wa Useremala Darala la III - Pemba (Carpentry Instructor Grade III) 1
Mpishi wa Dakhalia Daraja la III - Unguja (Hostel Cook Grade III) 1
Mkufunzi wa ICT - Unguja (ICT Instructor) 1
Mkufunzi wa Ufundi Bomba la II - Pemba (Plumbing Instructor Grade II) 1
Mkufunzi wa Uvuvi Daraja la III - Pemba (Fishing Instructor Grade III) 1
Mwalimu wa Ushoni Daraja la III - Pemba (Tailoring Teacher Grade III) 1
Mwalimu wa Ushoni Daraja la III - Unguja (Tailoring Teacher Grade III) 1
TOTAL POSTS 9

MAMLAKA YA MAFUNZO YA AMALI

Vacancies: 9  |  Latest closing: May 29, 2026 Apply

MKUFUNZI WA UJASIRIAMALI DARAJA LA II-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSH -08

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti.
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika.
  • Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na Semina mbali mbali pale inapohitajika,
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise)
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi  miaka 45

Awe amehitimu shahada ya kwanza ya Ujasiriamali, biashara, uchumi na fedha  kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

MKUFUNZI UJASIRIAMALI DARAJA LA II NAFASI -PEMBA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSH -06

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti.
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika.
  • Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na Semina mbali mbali pale inapohitajika,
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise)
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi  miaka 45

Awe amehitimu shahada ya kwanza ya Ujasiriamali, biashara, uchumi na fedha  kutoka katika Chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

MKUFUNZI WA USEREMALA DARALA LA III NAFASI I-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSF-06

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha  katika ngazi ya cheti kuanzia Level  I hadi  level  II
  • Kutayarisha  mpangilio  wa masomo wanayofundisha  (Scheme of Work ) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika na kutayarisha “Lesson Plan “ , Daily record notes na Assessment record.
  • Kuziweka mashine na vifaa vya kujifunzia katika mazingira salama baada ya kumaliza matumizi.
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbali mbali  za kukuza na kuendeleza  elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kutayarisha visaidizi  vya Mwalimu (Teaching and Learning materials/ teaching adds.
  • Kushiriki kazi za Vitendo za Darasani ( Teaching  Practise and Students Projects)
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe na Stashahada ya Uhandisi Majengo (Civil Engineering) /Ufundi Useremala au fani inayolingana na kazi hii.

Awe ni Mzazibar na umri usiozidi miaka 45.

Awe na Uzoefu wa kutengeneza samani mbali mbali na kuongeza thamani.

Apply for this position

MPISHI WA DAKHALIA DARAJA LA III NAFASI I -UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSE-03

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kuandaa matayarisho ya Chakula kwa ajili ya kupikwa.
  • Kuhakikisha Chakula kinachotakiwa kupikwa kimetimia kabla ya kuanza kupikwa.
  • Kuweka mazingira safi na salama kwa ajili ya kutunza afya ya walaji.
  • Kufanya usafi wa jiko, vyombo na vifaa vya kupikia mara baada ya kumaliza kupika.
  • Kufanya kazi nyengine zinazoendana na majukumu yake ya kazi kama takazopangiwa na mkuu wa kazi.
  • SIFA ZA KIELIMU
  • Certificate in Food and Production,
  • Certificate in Food Production and Bakery

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi  miaka 45

Awe amehitimu elimu ya cheti katika fani ya mapishi kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Au

Awe na Elimu ya upishi NVA Level  III kutoka mamlaka ya Mafunzo ya Amali au VETA.

Awe na uzoefu na ujuzi wa kupika chakula cha Shughuli (chakula kingi kwa pamoja).

Apply for this position

MKUFUNZI WA ICT-UNGUJA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSH-08

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti.
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo  wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika.
  • Kutayarisha na kusimamia mafunzo ya muda mfupi na Semina mbali mbali pale inapohitajika,
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbalimbali  za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise),
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni mzanzibar asiepungua umri wa miaka 45,

Awe na elimu ya Shahada ya kwanza katika fani na TEHEMA kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Apply for this position

MKUFUNZI WA UFUNDI BOMBA LA II NAFASI I -PEMBA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSH -08

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti.
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika.
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise)
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45

Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi Majengo, Ufundi bomba au fani yoyote inayolingana na kazi hii.

Awe na ujuzi na uzoefu wa kazi ya ufundi bomba ikiwemo uelewa wa mifumo ya mambomba na maji pamoja na uelewa wa vifaa na shinikizo la maji.

Apply for this position

MKUFUNZI WA UVUVI DARAJA LA III NAFASI -I -PEMBA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSF-06

Duties and Responsibilities

  • MAJUKUMU YA KAZI
  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti kuanzia Level  I hadi level II
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha ( Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka au inapohitajika na kutayarisha “Lesson Plan”, Daily record”, Lesson Notes” na Assesment records.
  • Kutafuta na kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na Vyuo husika.
  • Kutayarisha visaidizi vya mwalimu ( Teaching and learning  materials /teaching adds)
  • Kushiriki mafunzo ya vitendo (Teaching Practise  and Students Projects)
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi  miaka 45

Awe na  Stashahada katika fani ya Uvuvi na mazao ya Baharini.

Awe na ujuzi na uzoefu wa hali ya juu katika shughuli za uvuvi, urambazaji, na taaluma ya baharini pamoja na kilimo cha mazao ya baharini au Elimu inayolingana

Apply for this position

MWALIMU WA USHONI DARAJA LA III-PEMBA

Posts: 1  |  Closing: May 29, 2026 Apply  |  Period: 23/05/2026 - 29/05/2026  |  Scale: ZPSH-08

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha katika ngazi ya Cheti,
  • Kutayarisha mpangilio wa masomo wanayofundisha (Scheme of Work) kila mwisho wa mwaka.
  • Kutafuta na Kubuni mbinu mbalimbali za kukuza na kuendeleza elimu katika fani na vyuo husika.
  • Kushiriki kazi za vitendo za darasani (Teaching Practise),
  • Kuweka vifaa na mashine za kujifunzia katika mazingira mazuri na salama.
  • Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

SIFA ZA MUOMBAJI

Awe ni Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45

Awe amehitimu elimu ya Diploma au cheti cha ubunifu na ushonaji nguo kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.au

Awe na Diploma ya elimu ya Secondari pamoja na cheti cha Ushoni kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Awe na ujuzi na uzoefu  wa kushona nguo za aina yote.

Apply for this position

MWALIMU WA USHONI DARAJA LA III -UNGUJA

Get in touch

Email
vta@vta_.go.tz
Phone
+255-24-2230204