Nafasi za Kazi 95 Wizara, Idara, Wakala na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs)

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-06-14

  • Closing date

    2026-06-26

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma Master’s Degree

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    135563

Job Description

The total number of job posts listed here for public distribution across various Ministries, Departments, and Agencies & Local Government Authorities (MDAs & LGAs) is 95 posts in June 2026.

Job TitlePosts
Internal Auditor Grade II15
Assistant Health Laboratory Technologist II10
Assistant Technologist - Pharmacy II10
Assistant Technologist - Radiology II10
Radiography Technologist II – Radiology10
Accountant Grade II10
Dental Therapist Grade II10
Dental Surgeon Grade II10
Nurse II10
TOTAL POSTS95

MDAs & LGAs

Vacancies: 9  |  Latest closing: 26/06/2026

MTEKNOLOJIA MSAIDIZI DARAJA LA II – MAABARA (ASSISTANT HEALTH LABORATORY TECHNOLOGIST II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS A

Duties and Responsibilities

  • Kuandaa vitendanishi (reagents) vya kufanyia vipimo vya Maabara;
  • Kufanya kazi za awali sampuli zinazoletwa maabara;
  • Kukusanya damu kutoka kwa wagonjwa na watu wanaojitolea;
  • Kurekodi matokeo ya vipimo kwenye regista;
  • Kutayarisha vifaa vya kazi;
  • Kuhifadhi kwa mujibu wa taratibu sampuli zote zinazohitaji kuhifadhiwa baada ya uchunguzi;
  • .Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Astashahada ya sayansi ya Maabara za Afya kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na awe amesajiliwa na Baraza la Wataalam wa Maabara.

Apply for this position


MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – DAWA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -PHARMACY II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS A.

Duties and Responsibilities

  • Kuandaa mahitaji na matumizi ya dawa na vifaa tiba;
  • Kuagiza, kuhifadhi na kugawa dawa na vifaa tiba katika eneo lake la kazi;
  • Kuandaa taarifa ya matumizi ya dawa na vifaa tiba;
  • Kutunza kumbukumbu za dawa na vifaa tiba;
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wenye cheti cha Astashahada katika fani za  Dawa kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali naambao wamesajiliwa na Baraza la Famasi.

Apply for this position


MTEKNOLOJIA MSAIDIZI – RADIOLOJIA (ASSISTANT TECHNOLOGIST -RADIOLOGY II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS - A

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi za kupokea na kupima wagonjwa katika maeneo ya vipimovya mifupa na kifua (chests and Skeletal Radiography);
  • Kuandaa dawa za kusafisha picha;
  • Kusafisha picha;
  • Kutunza mitambo ya X-Ray na ya kusafisha picha;
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa waombaji wenye cheti cha Astashahada katika fani za Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali na ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

Apply for this position


MTEKNOLOJIA WA RADIOGRAFA DARAJA II - RADIOLOJIA (RADIOGRAPHYTECHNOLOGIST II – RADIOLOGY)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGTS B

Duties and Responsibilities

  • Kuwapima wagonjwa wanaolekezwa kwenye eneo lake la kazi.
  • Kutunza mitambo na vifaa vya Radiolojia katika eneo lake la kazi.
  • Kukagua picha za X-Ray zilizopimwa kwa ubora na kutosheleza (diagnostic quality).
  • Kutunza picha za wagonjwa hadi majibu yanapowafikia madaktari waliowatuma wagonjwa.
  • Kusimamia watumishi walio chini yake.
  • Kutoa Ushauri kuhusu masuala ya na kazi za Radiolojia na Mionzi katika eneo lake la kazi.
  • Kuandaa vifaa vya tiba/uchunguzi na kusimamia utakasaji vifaa katika eneo lake la kazi (sterilization).
  • Kutoa mafunzo ya awali kwa watumishi wanaopangiwa kazi katika eneo lake la kazi.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya Uteknolojia wa Radiolojia kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Baraza la Waatalum wa Mionzi Tanzania.

Apply for this position


MKAGUZI WA NDANI DARAJA II (INTERNAL AUDITOR GRADE II)

Posts: 15  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGS.E

Duties and Responsibilities

  • kuandaa program ya ukaguzi wa ndani
  • kufanya uchambuzi katika hatua za awali za ukaguzi
  • kufanya tathimini za udhibiti wa mifumo ya ndani katika hatua za awali (internal controls), uthibiti wa vihatarishi (risk management) na usimamizi wa mifumo ya uendeshaji (corporate governance)
  • kuandaa mpango wa ukaguzi wa ndani wa kawaida au maalum
  • kufanya ukaguzi wa kawaida, maalum, kiufundi na uchunguzi (Normal, Special Audit, Technical audit and Investigations)
  • kufanya uhakiki wa hoja za ukaguzi zilizopokelewa
  • vii.Kufuatilia utekelezaji wa mapendekezo ya ukaguzi wa ndani
  • Kutoa ushauri wa kuimarisha utendaji wa taasisi
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu mwenye shahada ya biashara au Sanaa yenye muelekeo wa Uhasibu/Stashahada ya Juu ya Uhasibu/Ukaguzi hesabu wenye cheti cha taaluma ya uhasibu CPA(T) au sifa nyingine zinazotambulika na NBAA.

Apply for this position


MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT GRADE II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGS E

Duties and Responsibilities

  • Kuandika taarifa ya mapato na matumizi;
  • Kuandika taarifa za maduhuli;
  • Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati;
  • Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha;
  • Kukagua hati za malipo; na
  • Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.

Apply for this position


TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST GRADE II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS B

Duties and Responsibilities

  • Kazi zote zinazofanywa na Tabibu Msaidizi.
  • Kutambua na kutibu magonjwa ya kawaida.
  • Kusimamia utendaji wa watumishi walio chini yake na kufanya upasuaji mdogo.
  • Kushiriki katika kupanga na kutekeleza Huduma za Afya Msingi.
  • Kushauri na kuhamasisha wananchi kuchangia huduma za Afya za Mfuko wa Afya ya Jamii.
  • Kuweka kumbukumbu za vifaa na zana za kutolea huduma.
  • Kuweka kumbukumbu, kuandaa na kutoa taarifa za utekelezaji.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi

Qualifications

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno (Diploma in Clinical Dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

Apply for this position


DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON GRADE II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS E

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa ya kinywa na meno.
  • Kutoa na kusimamia elimu ya afya ya kinywa na meno.
  • Kuboresha afya ya kinywa na meno katika eneo lake la kazi na jamii.
  • Kuziba/kukarabati meno, upasuaji, utengenezaji wa meno, kurekebisha mataya (orthodontics).
  • Kusimamia wafanyakazi walio chini yake.
  • Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
  • Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyopo eneo lake la kazi.
  • Kubuni na kuendesha utafiti na kusambaza matokeo.
  • Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake.
  • Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya ya kinywa na meno.
  • Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya.
  • Kutoa huduma za outreach katika wilaya/mkoa wake.
  • Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoelekezwa katika misingi ya MTUHA.
  • Kupanga na kutathimini huduma za afya ya kinywa na meno katika eneo la kazi.
  • Kufanya utafiti katika maeneo mbali mbali ya afya ya kinywa na meno.
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

Apply for this position


MUUGUZI II (NURSE II)

Posts: 10  |  Closing: 26/06/2026  |  Period: 13/06/2026 - 26/06/2026  |  Scale: TGHS A

Duties and Responsibilities

  • Kufanya kazi za kiuguzi za kuhudumia wateja katika jamii, hospitali na      sehemu zote zinapotolewa huduma za afya;
  • Kusimamia na kuratibu kazi zote za wahudumu wa afya katika sehemu yake     ya kazi;
  • Kukusanya takwimu na kutayarisha taarifa za utendaji wake wa kazi;
  • Kutoa huduma kwa wagonjwa majumbani;
  • Kutoa ushauri nasaha;
  • Kutoa huduma za kinga na uzazi wa mpango;
  • Kutoa huduma za uzazi na afya ya mtoto;
  • Kuelimisha wagonjwa na jamii kuhusu matatizo yao ya kiafya;
  • Kufuatilia utunzaji wa vitendea kazi katika maeneo yake ya kazi; na
  • Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha uuguzi cha miaka miwili kutoka katika Chuo kinachotambuliwa na Serikali na kusajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

Apply for this position

Interested in this job?

12 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

JobChat JobChat AI Here to help with this job
How can I help you with Nafasi za Kazi 95 Wizara, Idara, Wakala na Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (MDAs & LGAs)?

Powered by JobChat

How to Apply

Apply now