Job Role Insights

  • Date posted

    2026-07-18

  • Closing date

    2026-07-31

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Certificate Degree Diploma High School Certificate Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    138621

Job Description

The total number of job posts listed here for the Ministry of Education, Science and Technology (Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia) is 44 posts in July 2026.

The precise departmental entry allocations across these vocational disciplines confirm a cumulative total of 44 teaching positions to strengthen community development and technical skills colleges across the country.

Job Title / SpecializationPosts
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication)13
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Ushonaji na Ubunifu wa Mitindo (Tailoring and Fashion Design)10
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Useremala (Carpentry and Joinery)9
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Uhazili (Secretarial Studies)5
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Magari (Motor Vehicle Mechanics)5
Mkufunzi Msaidizi Maendeleo ya Jamii II – Uandaaji wa Chakula (Food Production)2
TOTAL POSTS44

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

Vacancies: 6  |  Latest closing: 31/07/2026

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UHAZILI (SECRETARIAL STUDIES)

Posts: 5  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo; iii. Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia;
  • Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya uhazili (Secretarial Studies) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USEREMALA (CARPENTRY AND JOINERY)

Posts: 9  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani; ix. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Useremala (carpentry and Joinery) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II- MAGARI(MOTOR VEHICLE MECHANICS)

Posts: 5  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • i.    Kufundisha masomo ya fani ya Magari katika vyuo;
  • ii.    Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
  • iii.   Kusimamia masomo ya vitendo;
  • iv.   Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
  • v.    Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka  chuo;
  • vi.   Kuandaa muhtasari wa masomo;
  • vii.   Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
  • viii.  Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
  • ix.    Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
  • x.    Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada katika fani ufundi wa Magari kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UANDAAJI WA CHAKULA (FOOD PRODUCTION)

Posts: 2  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam; vii. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali;

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ‘’Food Production’’ kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – UCHOMELEAJI NA UTENGENEZAJI WA VYUMA (WELDING AND METAL FABRICATION)

Posts: 13  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo; iv. Kutunza vifaa vya kufundishia;
  • Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam;
  • Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani; ix. Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya Uchomeleaji na Utengenezaji wa Vyuma (Welding and Metal Fabrication) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.

Apply for this position

MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II – USHONAJI NA UBUNIFU WA MITINDO (TAILORING AND FASHION DESIGN)

Posts: 10  |  Closing: 31/07/2026  |  Period: 18/07/2026 - 31/07/2026  |  Scale: TGS C

Duties and Responsibilities

  • Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
  • Kutayarisha mpango wa kazi wa mafunzo;
  • Kupima maendeleo ya wanachuo katika nadharia na vitendo;
  • Kutunza vifaa vya kufundishia; v. Kufanya na kutoa taarifa za utafiti;
  • Kutoa ushauri wa kitaalam; vii. Kuandaa kanuni na taratibu za kusimamia mitihani chuoni;
  • Kutunga na kusahihisha mitihani;
  • Kufanya utafiti utakaosaidia kutoa majibu kwa changamoto mbalimbali zinazokwamisha maendeleo katika jamii; na
  • Kutoa ushauri juu ya kuboresha taaluma chuoni na kuendeleza mafunzo nje ya chuo.

Qualifications

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne/Sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada ya ushonaji na ubunifu mitindo (Tailoring and Fashion Design) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali

Apply for this position

Interested in this job?

13 days left to apply

Apply now

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

How to Apply

Apply now