
POST: MPISHI DARAJA LA II – 2 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-07-29
-
Closing date
2025-08-11
-
Hiring location
Mara
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
POST: MPISHI DARAJA LA II - 2 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Mji wa Tarime
APPLICATION TIMELINE:: 2025-07-29 2025-08-11
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya usafi wa jiko
- Kupika vyakula vya aina mbalimbali
- Kuhakikisha vyombo vya kupikia vinakuwa safi
- Kutayarisha orodha ya vyakula vya mlo kamili (balanced diet)
- Kupika vyakula vya kitaalam
- Kuhakikisha chakula kinaandaliwa kwa muda muafaka
- Kuahakikisha usalama wa jiko na chakula
- Kutekeleza majukumu mengine utakayopangiwa na msimamizi wako
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye elimu ya kidato cha Nne (IV) au kidato cha Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/ Cheti (Technician Certificate) katika fani ya Mapishi (Food Production/ Culinary Arts) kutoka Chuo chochote kinachotambulika na Serikali.
REMUNERATION: TGS C
Interested in this job?
12 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job