Job Role Insights

  • Date posted

    2024-04-28

  • Closing date

    2024-05-28

  • Hiring location

    Simiyu

  • Offered salary

    Min:TZS150,000/month

  • Career level

    Fresher

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    24183

Job Description

Majukumu ya lodge supervisor

Kuwapokea wageni na kusaini kwenye kitabu cha wagenianya

Kuhakikisha usafi unafanyika kwenye vyumba ,mashuka na kwenye vyoo na usafi wa Mazingira kwa ujumla.

Kuhakiki chumba kabla na Baada ya Matumizi

Kuhakikisha feni,hiter,na taa zimezimwa kwa wakati .

Kuhakikisha maji yamejazwa kwenye tanki kila siku.

Kusimamia ulinzi wa vifaa vya wageni na vya lodge   .

Kutuma mauzo kila siku kwenye Akaunti .

N.b kuomba kazi hii tuma Barua ya maombi na wasifu wako (CV) kwenye E-mail hii [email protected]

Interested in this job?

This job has expired

Apply Other Jobs

Share this opportunity

Help others find their dream job

Apply for this job

Cancel
Apply now
Whatsapp-color Created with Sketch. Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your WhatsApp.
Subcrible
Send message
Cancel