Nafasi za Kazi 23 Daktari Daraja II (Medical Officer II) Wizara ya Afya
Job Role Insights
-
Date posted
2026-07-09
-
Closing date
2026-07-18
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
23 person
-
Gender
both
-
Job ID
137555
Job Description
The Wizara ya Afya (Ministry of Health) in Tanzania is the government body responsible for national health policies, preventive and curative services, medical research, and public health directives.
MEDICAL OFFICER II Wizara ya Afya
23 Positions
Application Period
09/07/2026 - 18/07/2026
Duties and Responsibilities
- i. Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika yakiwemo magonjwa ya watoto, magonjwa ya akina mama na upasuaji wa kawaida na dharura.
- ii. Kutoa na kusimamia elimu ya afya pamoja na kuboresha afya ya jamii katika wilaya na mikoa au eneo la kazi.
- iii. Kutunza takwimu na kuzitumia kama inavyoonekana katika mifumo.
- iv. Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa.
- v. Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
- vi. Kusimamia na kuelekeza watumishi walio chini yake.
- vii. Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
- viii.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani Yake.
- ix. Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- x. Kushiriki, kuhakiki na kuboresha huduma za afya( Medical audit and quality improvement)
- xiv. Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
- xv. Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wenye shahada ya Udaktari kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
Remuneration
TGHS E
Interested in this job?
6 days left to apply
