Nafasi za Kazi 9 Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

Job Role Insights

  • Date posted

    2026-02-09

  • Closing date

    2026-02-20

  • Hiring location

    Kilimanjaro

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Degree Diploma Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    9 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    127632

Job Description

Mwanga District Council is a local government authority in Tanzania's Kilimanjaro Region, responsible for administering the district, including managing local by-laws, public services, and infrastructure. It operates as a rural district council, overseeing areas often characterized by hilly terrain, farming, and proximity to major transport routes between Dar es Salaam and Arusha.

The total number of job posts listed here for the Mwanga District Council (Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga) is 9 posts in February 2026.

Job TitlePosts
1.0 Office Management Secretary Grade II (MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II)4
2.0 Driver II (DEREVA II)5
TOTAL POSTS9

MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II (OFFICE MANAGEMENT SECRETARY GRADE II)

Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

4 Positions

Application Period

07/02/2026 - 20/02/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za Siri;
  2. Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao na kuwaeleza wanapoweza kusaidiwa;
  3. Kutunza taarifa za kumbukumbu ya matukio, miadi, tarehe za vikao, safari za Mkuu wake na ratiba za kazi zingine;
  4. Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi;
  5. Kupokea majalada na kusambaza kwa maofisa walio katika Idara / Kitengo/ Sehemu husika, Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika;
  6. Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali;
  7. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya Ofisi;
  8. Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.

Qualifications

Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne au Sita mwenye Stashahada (Diploma) ya Uhazili au cheti cha NTA Level 6 ya Uhazili. Aidha, awe amefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno100 kwa dakika moja na kupata program za Kompyuta za ofisi kama vile: Word, Excel, Powerpoint, internet, email na Publisher kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

Remuneration

TGS C

DEREVA II

Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga

5 Positions

Application Period

07/02/2026 - 20/02/2026

Duties and Responsibilities

  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbali mbali kwenye safari za kikazi;
  3. Kufanya matengenezo madogomadogo ya gari;
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari;
  6. Kufanya usafi wa gari;
  7. Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na msimamizi wake.

Qualifications

Kuajiriwa wenye elimu ya  kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali,pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na vyuo vyovyote vinavyotambuliwa na serikali. 

Remuneration

TGS B

Interested in this job?

10 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel