
POST: DEREVA DARAJA II – 9 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-06-28
-
Closing date
2025-07-10
-
Hiring location
Mtwara
-
Career level
Middle
-
Qualification
Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
POST: DEREVA DARAJA II - 9 POST
EMPLOYER: Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara
APPLICATION TIMELINE:: 2025-06-27 2025-07-10
JOB SUMMARY: NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
- Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi
- Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari
- Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
- Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari
- Kufanya usafi wa gari
- na Kufanya kazi nyingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja(1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na chuo Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION: TGS B 1
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job