Nafasi za Kazi 6 Karume Institute of Science and Technology
Job Role Insights
-
Date posted
2026-09-01
-
Closing date
2026-09-14
-
Hiring location
Zanzibar
-
Career level
Middle
-
Quantity
6 person
-
Gender
both
-
Job ID
143183
Job Description
The total number of job posts listed here for the Karume Institute of Science and Technology / Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST) is 6 posts in September 2026.
This higher education technical recruitment targets planning, automotive instruction, legal services, automotive mechanics, and refrigeration/air conditioning maintenance across KIST Unguja campus.
| Job Title / Specialization | Posts |
| Mkufunzi wa Uhandisi Magari Daraja la II (Automotive Engineering Instructor Grade II) | 2 |
| Afisa Mpango Daraja la II (Planning Officer Grade II) | 1 |
| Afisa Sheria Daraja la II (Legal Officer Grade II) | 1 |
| Fundi Magari Daraja la III (Motor Vehicle Mechanic Grade III) | 1 |
| Fundi Vipooza Hewa na Majokofu Daraja la III (Refrigeration and Air Conditioning Technician Grade III) | 1 |
| TOTAL POSTS | 6 |
Karume Institute of Science and Technology
Vacancies: 6 | Latest closing: Sep 14, 2026 Apply
AFISA MIPANGO DARAJA LA II -UNGUJA
Posts: 1 | Closing: Sep 14, 2026 Apply | Period: 01/09/2026 - 14/09/2026 | Scale: ZPSI – 04
Duties and Responsibilities
- Kuratibu uandaaji wa Mpango Mkakati, Bajeti na Mpango Kazi kwa kila Mwaka wa Fedha.
- Kufuatilia utekelezaji wa Mpango Kazi wa Taasisi.
- Kufanya Uchambuzi wa Takwimu za kifedha na kutoa ushauri kwa Uongozi wa Taasisi.
- Kuibua na kupendekeza Programu na Miradi ya utekelezaji ya maendeleo kwa Taasisi.
- Kuratibu na kufuatilia tathmini ya utekelezaji wa Mipango na Programu za Maendeleo.
Qualifications
- Awe Mzanzibari asiezidi miaka arubaini na tano (45).
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika moja ya fani zifuatazo:-
- Bachelor Degree in Planning.
- Bachelor Degree in Economic Planning.
- Bachelor Degree in Project Planning and Management.
- Bachelor Degree in Planning and Investment.
- Bachelor Degree in Economics.
- Pamoja na fani zinazofanana na hizo, kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkuu wa Taasisi,
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume,
S. L. P. 467,
Zanzibar.
- Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) wa Serikali wenye anuani ifuatayo:- www.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01Septemba, 2026 hadi tarehe 14 Septemba, 2026.
- Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume yenye anuani www.kist.ac.tz
- Muombaji ahakikishe anaambatanisha viambatisho vinavyohitajika kwa usahihi katika Mfumo.
- Muombaji aliesoma nje ya Tanzania atalazimika kufanya uhakiki wa vyeti vyake katika Tume ya Vyuo Vikuu vya Tanzania (TCU).
- Muajiriwa wa Serikali atalazimika kupitisha maombi kwa Muajiri wake kwa kupata ridhaa.
MKUFUNZI WA UHANDISI MAGARI DARAJA LA II-UNGUJA
Posts: 2 | Closing: Sep 14, 2026 Apply | Period: 01/09/2026 - 14/09/2026 | Scale: ZPSI – 07
Duties and Responsibilities
- Atakuwa Mkufunzi na msomeshaji kwa Astashahada na Stashahada (NTA level 4 – 6).
- Ataandaa mitihani na kusainisha kwa Astashahada na Stashahada.
- Atasimamia kazi za Wanafunzi na kuandaa kazi za vitendo kwa Wanafunzi.
- Kuandaa tafiti na machapisho.
- Kutoa ushauri elekezi na huduma kwa jamii.
- Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
- Awe Mzanzibari asiezidi miaka arubaini na tano (45).
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika moja ya fani zifuatazo:-
- Bachelor of Auto - Mechanics Engineering .
- Bachelor of Automative Engineering.
- Bachelor of Automobile Engineering.
- Bachelor of Motor Vehicle Mechanics.
- Bachelor of Auto – Electrical Engineering.
- Bachelor of Vehicle Maintanance and Repair.
- Pamoja na fani zinazofanana na hizo, kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
- Awe na ufaulu usiopungua CGPA 3.5 katika Shahada ya kwanza.
MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkuu wa Taasisi,
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume,
S. L. P. 467,
Zanzibar.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) wa Serikali wenye anuani ifuatayo:- www.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01Septemba, 2026 hadi tarehe 14 Septemba, 2026.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume yenye anuani www.kist.ac.tz
Muombaji ahakikishe anaambatanisha viambatisho vinavyohitajika kwa usahihi katika Mfumo.
Muombaji aliesoma nje ya Tanzania atalazimika kufanya uhakiki wa vyeti vyake katika Tume ya Vyuo Vikuu vya Tanzania (TCU).
Muajiriwa wa Serikali atalazimika kupitisha maombi kwa Muajiri wake kwa kupata ridhaa.
AFISA SHERIA DARAJA LA II -UNGUJA
Posts: 1 | Closing: Sep 14, 2026 Apply | Period: 01/09/2026 - 14/09/2026 | Scale: ZPSI – 04
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kutafsiri Sheria, Kanuni na hati nyengine za Kisheria.
- Kusaidia kutoa huduma za Kisheria ndani ya Taasisi.
- Kushiriki katika kufatilia utekelezaji wa Sheria na Kanuni zinazohusiana na kazi za Taasisi.
- Kushiriki kuandika na kupitia mikataba na Hati za Makubaliano.
- Kushiriki katika kuratibu michango na ushauri wa Kisheria kuhusiana na malalamiko ya mtoa na mpokeaji huduma.
- Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45.
- Awe amehitimu Shahada ya kwanza katika moja ya fani zifuatazo:-
- Bachelor of Law and Sharia.
- Bachelor of Laws (LL.B.)
- Bachelor of Arts and Bachelor of Laws.
- Pamoja na fani zinazofanana na hizo, kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Kwa muombaji wa Fani hii ya Sheria aliyehitimu kuanzia mwaka 2019 na kuendelea atalazimika kuwasilisha Cheti cha kuhitimu mafunzo ya Vitendo kutoka Skuli ya Sheria.
- Kwa muombaji aliyehitimu mafunzo yake kabla ya mwaka 2019 na tayari amekuwa Wakili kabla ya kuanzishwa kwa Skuli ya Sheria ya Zanzibar, hatolazimika kuwasilisha Cheti cha Mafunzo ya Vitendo.
MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkuu wa Taasisi,
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume,
S. L. P. 467,
Zanzibar.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) wa Serikali wenye anuani ifuatayo:- www.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01Septemba, 2026 hadi tarehe 14 Septemba, 2026.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume yenye anuani www.kist.ac.tz
Muombaji ahakikishe anaambatanisha viambatisho vinavyohitajika kwa usahihi katika Mfumo.
Muombaji aliesoma nje ya Tanzania atalazimika kufanya uhakiki wa vyeti vyake katika Tume ya Vyuo Vikuu vya Tanzania (TCU).
Muajiriwa wa Serikali atalazimika kupitisha maombi kwa Muajiri wake kwa kupata ridhaa.
FUNDI MAGARI DARAJA LA III-UNGUJA
Posts: 1 | Closing: Sep 14, 2026 Apply | Period: 01/09/2026 - 14/09/2026 | Scale: ZPSD – 07
Duties and Responsibilities
- Kufanya ukaguzi wa kawaida wa magari na kubaini hitilafu za kiufundi.
- Kufanya matengenezo madogo na makubwa ya magari kulingana na maelekezo ya msimamizi au Mkuu wake wa kazi.
- Kutengeneza na kubadilisha vipuri vya magari vilivyoharibika kwa kutumia zana na vifaa vinavyofaa.
- Kusaidia katika kubaini hitilafu za mifumo ya umeme wa magari.
- Kufanyakazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45.
- Awe amehitimu Astashahada (Cheti) katika moja ya fani zifuatazo:-
- Certificate in Auto – Mechanics.
- Certificate in Automative Technology
- Certificate in Automobile Engineering.
- Certificate in Motor Vehicle Mechanics.
- Certificate in Auto – Electrical Engineering.
- Certificate in Vehicle Maintanance and Repair .
- Pamoja na fani zinazofanana na hizo, kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
- Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkuu wa Taasisi,
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume,
S. L. P. 467,
Zanzibar.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) wa Serikali wenye anuani ifuatayo:- www.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01Septemba, 2026 hadi tarehe 14 Septemba, 2026.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume yenye anuani www.kist.ac.tz
Muombaji ahakikishe anaambatanisha viambatisho vinavyohitajika kwa usahihi katika Mfumo.
Muombaji aliesoma nje ya Tanzania atalazimika kufanya uhakiki wa vyeti vyake katika Tume ya Vyuo Vikuu vya Tanzania (TCU).
Muajiriwa wa Serikali atalazimika kupitisha maombi kwa Muajiri wake kwa kupata ridhaa.
FUNDI VIPOOZA HEWA NA MAJOKOFU DARAJA LA III -UNGUJA
Posts: 1 | Closing: Sep 14, 2026 Apply | Period: 01/09/2026 - 14/09/2026 | Scale: ZPSD – 07
Duties and Responsibilities
- Kuandaa vifaa kwa ajili ya mazoezi ya vitendo.
- Kuwasimamia wanafunzi katika kazi za vitendo.
- Kufanya matengenezo ya majokofu na vipooza hewa.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama atakavyopangiwa na Mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 45.
Awe amehitimu Astashahada (Cheti) katika moja ya fani zifuatazo:
Cetificate in Refregiration and Air Conditioning
Cetificate in Heating Ventilation and Air Conditioning.
Cetificate in Automotive Air Conditioning.
Pamoja na fani zinazofanana na hizo, kutoka vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Awe na uwezo wa kuandika na kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha.
MAOMBI
Maombi yote yatumwe kwa anuani ifuatayo:-
Mkuu wa Taasisi,
Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume,
S. L. P. 467,
Zanzibar.
Maombi yote yatumwe kwenye mfumo wa kielektroniki wa maombi ya ajira (Zanajira) wa Serikali wenye anuani ifuatayo:- www.zanajira.go.tz kuanzia tarehe 01Septemba, 2026 hadi tarehe 14 Septemba, 2026.
Tangazo hili pia linapatikana katika tovuti ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume yenye anuani www.kist.ac.tz
Muombaji ahakikishe anaambatanisha viambatisho vinavyohitajika kwa usahihi katika Mfumo.
Muombaji aliesoma nje ya Tanzania atalazimika kufanya uhakiki wa vyeti vyake katika Tume ya Vyuo Vikuu vya Tanzania (TCU).
Muajiriwa wa Serikali atalazimika kupitisha maombi kwa Muajiri wake kwa kupata ridhaa.
Interested in this job?
12 days left to apply
Your job search, in your pocket
Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.