Nafasi za Kazi 9 Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
Job Role Insights
-
Date posted
2026-03-31
-
Closing date
2026-04-15
-
Hiring location
Zanzibar
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Degree Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
9 person
-
Gender
both
-
Job ID
130064
Job Description
The Zanzibar Commission for Lands (established by Act No. 6 of 2015) is a government agency responsible for overseeing land administration, surveying, valuation, and registration in Zanzibar. It manages land tenure, resolves land disputes, and assists with land use planning to improve security of tenure and facilitate investment.
The total number of job posts listed here for the Zanzibar Land Commission (Kamisheni ya Ardhi Zanzibar) is 9 posts in March 2026.
| Job Title | Posts |
| Assistant Cartography Officer III (Afisa Mchora Ramani Msaidizi III) | 2 |
| Assistant Land Surveyor III (Afisa Mpima Ardhi Msaidizi III) | 2 |
| Land Valuation Officer II (Afisa Mthamini II) | 1 |
| Assistant Land Valuation Officer III (Afisa Mthamini Msaidizi III) | 1 |
| Land Surveyor II (Afisa Mpimaji Ardhi II) | 1 |
| Town and Village Planning Officer II (Afisa Mipango Miji na Vijiji II) | 1 |
| GIS Expert Officer II (Afisa GIS Expert II) | 1 |
| TOTAL POSTS | 9 |
POST: AFISA MCHORA RAMANI MSAIDIZI DARAJA LA III - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kutoa na kuchapisha nakala za Ramani.
- Kusaidia kutayarisha ramani za msingi "(Basemap)" zinazoweza kutumika katika shughuli mbali mbali.
- Kusaidia kuimarisha na kuvirejesha vianzio vya upimaji "(Survey Control Points)".
- Kusaidia kuboresha mabadiliko ya Ramani yanayojitokeza.
- Kusaidia kuandaa mapendekezo ya Seria na Kanuni za Ramani.
- Kusaidia kuandaa Ripoti ya utekelezaji wa kazi za Divisheni.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Uchoraji wa Ramani kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-02
POST: AFISA MPIMA ARDHI MSAIDIZI DARAJA LA III - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kupima viwanja kwa matumizi mbali mbali.
- Kusaidia kupima na kuimarisha mtandao wa vianzio vya upimaji ardhini na baharini "(Survey Control Points)".
- Kusaidia kujenga na kuimarisha vituo vya upimaji "(Continous Oparating Refrence Station - CORS)".
- Kutoa ushauri wa kazi za uwekaji wa mipaka ya utawala na kusaidia kupima kwa kushirikiana na Ofisi za Tawala za Mikoa na Ofisi nyengine za Serikali.
- Kusaidia kusimamia kifaa cha Upimaji wa kujaa na kupwa kwa maji ya bahari "(Tidal Gauge)".
- Kushauri na kusaidia kuandaa mapendekezo ya Sheria na Kanuni za Upimaji.
- Kusimamia taaluma na maadili ya kazi za Upimaji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Upimaji wa Ardhi kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-02
POST: AFISA MPIMAJI ARDHI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kupima viwanja kwa matumizi mbali mbali.
- Kupima na kuimarisha mtandao wa vianzio vya upimaji ardhi na baharini "(Survey Control Points)".
- Kujenga na kuimarisha vituo vya upimaji "(Continous Oparating Refrence Station - CORS)".
- Kushauri kazi za uwekaji wa mipaka ya utawala na kuipima kwa kushirikiana na Ofisi za Utawala za Mikoa na Ofisi nyengine za Serikali.
- Kusimamia kifaa cha upimaji wa kujaa na kupwa kwa maji ya bahari "(Tidal Gauge)".
- Kusimamia taaluma na maadili ya kazi za Upimaji.
- Kushauri na Kuandaa mapendekezo ya Sheria na Kanuni za Upimaji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya upimaji wa ardhi katika Vyuo vinavyotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-08
POST: AFISA MIPANGO MIJI NA VIJIJI DARAJA II - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kupanga matumizi Bora na endelevu ya Miji ya Zanzibar.
- Kusimamia maendeleo ya ardhi katika Miji, Mkoani na maeneo ya fukwe, kuimarisha Miji ili kukuza uchumi na kuleta maisha bora.
- Kupanga na kusimamia maendeleo ya makaazi Nchini kwa mujibu wa Sheria na Sera za maendeleo na kuwa mwelekezaji na mshauri Mkuu wa Serikali katika kuandaa Mipango ya Maendeleo ya Ardhi.
- Kusaidiana na Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya ili kudhibiti ujenzi holela.
- Kutayarisha mipango ya maendeleo ya Miji na viwango vya uendelezaji wa Vijiji "(Planning Guide Lines)" na kuyapanga na kuyaendeleza maeneo ambayo yamejengwa kiholela "(Improvement Plans)".
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Mipango Miji na Vijiji kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-08
POST: AFISA MTHAMINI DARAJA LA II - UNGUJA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kukusanya taarifa na maombi ya uthamini.
- Kukagua na kuhakiki maeneo ya kutiliwa thamani.
- Kufanyakazi za uthamini ardhi kwa madhumuni mbali mbali.
- Kuandaa ripoti na kuweka kumbu kumbu za kazi za uthamini.
- Kufanya uthamini wa mali zinazohamishika na zisizohamishika kwa malengo mbali mbali.
- Kuandaa ripoti ya utekelezaji wa kazi za Divisheni ya Uthamini.
- Kufanya kazi nyengine zinazolingana na majukumu yake kama utakavyopangiwa na Mkuu wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya Uthamini kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-08
POST: AFISA MTHAMINI MSAIDIZI DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kukusanya taarifa na maombi ya uthamini.
- Kusaidia kukagua na kuhakiki maeneo ya kutiliwa thamani.
- Kusaidia kufanyakazi za uthamini ardhi kwa madhumuni mbali mbali.
- Kusaidia kuandaa ripoti na kuweka kumbu kumbu za kazi za uthamini.
- Kusaidia kufanya uthamini wa mali zinazohamishika na zisizohamishika kwa malengo mbali mbali.
- Kusaidia kuandaa ripoti ya utekelezaji wa kazi za Divisheni ya Uthamini.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Uthamini "(Valuer)" kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-02
POST: AFISA MPIMA ARDHI MSAIDIZI DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kupima viwanja kwa matumizi mbali mbali.
- Kusaidia kupima na kuimarisha mtandao wa vianzio vya upimaji ardhini na baharini "(Survey Control Point)".
- Kusaidia kujenga na kuimarisha vituo vya upimaji "(Continous Oparating Refrence Station - CORS)".
- Kutoa ushauri kazi za uwekaji wa mipaka ya Utawala na kusaidia kuipima kwa kushirikiana na Ofisi za Tawala za Mikoa na Ofisi nyengine za Serikali.
- Kusaidia kusimamia kifaa cha upimaji wa kujaa na kupwa kwa maji ya bahari "(Tidal Gauge)".
- Kusimamia taaluma na maadili ya kazi za upimaji.
- Kushauri na kusaidia kuandaa mapendekezo ya Sheria na Kanuni za Upimaji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibar mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Upimaji wa Ardhi au Geomatics au Geoinformatics au Civil Engineering kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-02
POST: AFISA MCHORA RAMANI MSAIDIZI DARAJA LA III - PEMBA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kusaidia kutoa na kuchapisha nakala za Ramani.
- Kusaidia kutayarisha Ramani Msingi "(Basemap)" zinazoweza kutumika katika shughuli mbali mbali.
- Kusaidia kuimarisha na kuvirejesha vianzio vya Upimaji "(Survey Control Points)".
- Kusaidia kuandaa mapendekezo ya Sheria na Kanuni za Ramani.
- Kusaidia kuandaa ripoti ya utekelezaji wa kazi za Divisheni ya Ramani.
- Kusaidia kuboresha mabadiliko ya Ramani yanayojitokeza.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka arobaini na sita 46.
- Awe amehitimu Stashahada ya Uchoraji wa Ramani kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-0
POST: AFISA GIS EXPERT DARAJA LA II - PEMBA - 1 POST
EMPLOYER: Kamisheni ya Ardhi Zanzibar
APPLICATION TIMELINE: From: 31-03-2026 To: 15-04-2026
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
- Kutoa na kuchapisha nakala za Ramani.
- Kurusha ndege nyuki "(Drones)" kwa ajili ya utayarishaji wa Ramani.
- Kutayarisha Ramani za Msingi "(Basemap)" zilinazoweza kutumika katika shughuli mbali mbali.
- Kuboresha mabadiliko ya Ramani yanayojitokeza.
- Kujenga, kuimarisha na kuvirejesha vianzio vya upimaji "(Ground Control Points)" na "(Continous Oparating Refrence Station - CORS)".
- Kuandaa mapendekezo ya Sheria na Kanuni za Ramani.
- Kuandaa Ripoti za utekelezaji wa kazi za Divisheni ya Ramani.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
- Awe Mzanzibari mwenye umri usiozidi miaka 46.
- Awe amehitimu Shahada ya Kwanza ya GIS kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
REMUNERATION: ZPSG-08
Interested in this job?
15 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job
Generate Cover Letter
Login as a candidate to generate a free AI cover letter for this job
