
POST: FUNDI SANIFU DARAJA LA II – MAJI – (TECHNICIAN GRADE II – WATER) – 1 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-22
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121499
Job Description
POST: FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI - (TECHNICIAN GRADE II - WATER) - 1 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji
- Kutunza takwimu za maji
- Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari kwa kutumiwa kwenye michoro
- Kuchora hydrograph za maji
- Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi na sinia za maji
- Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na hali ya hewa
- Kuingiza takwimu kwenye kompyuta
- na viii. Kufundisha wasoma vipimo.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa na Serikali ambao wana cheti cha ufundi (FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION: TGS.C
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job