
POST: MWALIMU DARAJA LA III B – (ELIMU MAALUM) – 15 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-22
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
121500
Job Description
POST: MWALIMU DARAJA LA III B (ELIMU MAALUM) - 15 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuzi za masomo, na Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa.
- Kutengeneza na kufanya gharama za kufundishia na kujifunzia.
- Kufundisha, kufanya tathmini, na kutunza kumbukumbu za maendeleo ya wanafunzi.
- Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani.
- Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho, na kutoa ushauri nasaha na unasihi.
- Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu.
- Kusimamia na utunzaji wa vifaa na maliza shule.
- Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha nne/sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu Maalum kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.
REMUNERATION: TGTS C
Interested in this job?
10 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job