POST: MWALIMU DARAJA LA III B – SOMO LA UCHUMI (ECONOMICS) – 2 POST

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-08-10

  • Closing date

    2025-08-22

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    2 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    121505

Job Description

POST: MWALIMU DARAJA LA III B - SOMO LA UCHUMI (ECONOMICS) - 2 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22

JOB SUMMARY: N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kuandaa azimio la kazi, maandalio ya masomo, nukuu za masomona Mpango wa Kazi wa majukumu mengine aliyokabidhiwa
  • Kutengeneza na Kufaraghua zana za kufundishia na kujifunzia
  •  Kufundisha, kufanya Tathimini na kutunza kumbukumbu za Maendeleo ya Wanafunzi
  • Kusimamia na kufuatilia mahudhurio ya wanafunzi Shuleni na Darasani
  • Kusimamia malezi ya wanafunzi Kiakili, Kimwili, Kiroho na kutoa ushauri nasaha na unasihi
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu na kitaaluma kuhusu maendeleo ya Elimu
  • Kusimamia na utunzaji wa vifaa na mali za shule
  • Kazi nyingine atakazopangiwa na Mkuu wa Shule kulingana na majukumu ya Shule.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa mwenye cheti cha Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Sita ambaye amefaulu masomo mawili au zaidi yanayofundishwa shuleni na kufaulu mafunzo ya Stashahada ya Ualimu ya miaka miwili (2) yenye somo la kufundishia la Uchumi (Economics) kutoka Vyuo vya Ualimu vinavyotambulika na Serikali.

REMUNERATION: TGTS C

Interested in this job?

11 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Whatsapp-color Created with Sketch. Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your WhatsApp.
Subcrible
Send message
Cancel