About me


Naitwa Nasri Ubegete, fundi umeme mwenye uzoefu na uaminifu. Natoa huduma za:

  • Kufunga umeme mpya majumbani na kwenye biashara
  • Kukarabati hitilafu za umeme
  • Ufungaji wa taa, socket, swichi na vifaa vingine
  • Kuunganisha umeme mpya kutoka TANESCO

Napatikana Mbagala, Dar es Salaam
Huduma zangu ni za haraka, bora na kwa bei nafuu.
Wasiliana nami kwa Simu au WhatsApp: 0654 619 161


Send message
Cancel
Invite to apply job

Select job to invite this user