Freelance Sales Person.

77 (views)

Job Role Insights

  • Date posted

    2023-07-18

  • Closing date

    2023-07-18

  • Hiring location

    Mwanza

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Junior

  • Qualification

    Certificate Degree High School Certificate Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    10 person

  • Gender

    both

Job Description

TANGAZO LA KAZI.

NAD INSURANCE  AGENCY  NI  TAASISI  INAYOSHUGULIKA  NA  HUDUMA  ZA  UWAKALA  WA  MITANDAO YA SIMU .

MAKAO  MAKUU YA NAD  INSURANCE AGENCY NI  MWANZA, PIA KUNA OFISI  ZA NAD INSURANCE AGENCY SEHEMU MBALI MBALI KANDA YA ZIWA.

NAD INSURANCE  AGENCY  KWA KUSHIRIKIANA NA VODACOM INAKULETEA  FURSA  YA KUPATA  KIPATO CHA KUDUMU .

FURSA HII NI KUSAJILI LIPA NAMBA  ZA  VODACOM.UTALIPWA COMMISSION KWA KILA LIPA KWA SIMU UNATAKAYOSAJILI NA IMEFANYA MUAMALA.

KAZI HII UNAWEZA KUFANYA UKIWA POPOTE PALE NDANI YA NCHI YA TANZANIA.

VIGEZO

  • UMRI KUANZIA MIAKA 18 -45.
  • UWE NA AKILI TIMAMU.
  • UWE NA TABIA NJEMA.
  • UWE NA SIMU JANJA (SMART PHONE).
  • UWE UNAJUA KUSOMA NA KUANDIKA.
  • UWE UNAJUA KUFANYA MASOKO.

 

TUMA MAOMBI KWA  MAWASILIANO:

MENEJA RASILIMALI WATU

NAD INSURANCE AGENCY

MWANZA

SIMU:0767 463 568

Email:[email protected]

Interested in this job?

0 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

0767 463 568

Apply now
Send message
Cancel