Wakala wa mauzo wanahitajika
81 (views)
Job Role Insights
-
Date posted
2023-08-03
-
Closing date
2023-08-03
-
Offered salary
Min:TZS600,000
Job Description
Wakala wa mauzo wanahitajika nchi nzima.
Sifa zinazohitajika
-Elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea
- Mwenye kujifunza kwa haraka
- Mjuzi wa mauzo ya mlango kwa mlango (door to door )
- Mwenye kujiamini na uwezo mkubwa wa kuzungumza na wateja
- Mwenye kujituma na kufikia Malengo.
-Muaminifu
Malipo: Mfumo wa malipo ni wa kamisheni.
Tuma maombi kupitia whatsapp
0788644944
Taja mkoa ulipo.
Usipige simu.
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job