ULINZI
Job Role Insights
-
Date posted
2023-08-14
-
Closing date
2023-08-14
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Max:TZS250,000/month
-
Career level
Junior
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
NAFASI ZA KAZI YA ULINZI (NAFASI 15)
RIPOTI KWA: MENEJA MWAJIRI
KITUO CHA KAZI: DAR ES SALAAM/PWANI/TANGA
SIFA ZA MUOMBAJI
Awe Mtanzania.
Awe na Umri zaidi ya miaka 18.
Awe amepitia mafunzo ya Ulinzi, JKT, Mgambo.
Awe na Urefu wa Futi 6 na kuendelea.
Awe tayari kufanya kazi Mahali Popote Tanzania na hasiwe na historia ya Jinai
Awe na uzoefu angalau miezi 6
Maombi yote yatumwe Kwa;
MENEJA MWAJIRI,
SINE SEC GROUP LIMITED
P.O.BOX 9600
Dar es Salaam
Barua pepe: [email protected]
Simu Namba 0222617047
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job