FUNDI UMEME
172 (views)
Job Role Insights
-
Date posted
2023-09-05
-
Closing date
2023-09-05
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
male
Job Description
04.09.2023
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA FUNDI UMEME
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala DSM iliyosajiliwa kisheria kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia z a binadamu zenye nembo ya ''ANGELS''. Tunatangaza nafasi ya FUNDI UMEME
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe amesoma chuo cha VETA na kupatiwa cheti cha ufundi
- Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili
- Awe mtanzania mwenye Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA
- Awe mkazi wa Daar es Salaam
- Umri usizidi miaka 30
- Awe mwaminifu
NB; WANAOISHI WILAYA YA TEMEKE WATAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI
TUMA BARUA YA MAOMBI, CV AU WASIFU WAKO, CHETI CHA KUHITIMU CHUO PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA KWENYE; EMAIL ; [email protected] - Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11.09.2023
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job