Job Role Insights

  • Date posted

    2023-09-05

  • Closing date

    2023-09-05

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    male

Job Description

04.09.2023

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA FUNDI UMEME

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala DSM iliyosajiliwa kisheria kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia z a binadamu zenye nembo ya ''ANGELS''. Tunatangaza nafasi ya FUNDI UMEME

SIFA ZA MWOMBAJI

  1. Awe amesoma chuo cha VETA na kupatiwa cheti cha ufundi
  2. Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili
  3. Awe mtanzania mwenye Kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA
  4. Awe mkazi wa Daar es Salaam
  5. Umri usizidi miaka 30
  6. Awe mwaminifu
    NB; WANAOISHI WILAYA YA TEMEKE WATAPEWA KIPAUMBELE ZAIDI
    TUMA BARUA YA MAOMBI, CV AU WASIFU WAKO, CHETI CHA KUHITIMU CHUO PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA KWENYE; EMAIL ; [email protected]
  7. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11.09.2023

Interested in this job?

0 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

Apply for this job

Cancel
Apply now
Send message
Cancel