RECEPTIONIST
Job Role Insights
-
Date posted
2023-10-31
-
Closing date
2023-10-31
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
2 person
-
Gender
both
Job Description
30.10.2023
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MAPOKEZI (RECEPTIONIST).
Tunatangaza nafasi moja ya AFISA MAPOKEZI (RECEPTIONIST).
SIFA ZA MWOMBAJI : -
- Awe na uwezo wa kutumia programu zote za kompyuta.
- Awe na muonekano mzuri na wakuvutia.
- Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja.
- Awe na uwezo wa kupokea na kuhudumia wateja
- Awe na kauli nzuri kwa wateja .
- Awe uwezo mzuri wa kutumia na kuweka picha kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
- Awe mkazi wa Dar Es Salaam wa wilaya ya kinondoni,ilala na temeke.
- Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA.
- Umri usizidi miaka 30.
TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA.
Email ; [email protected]
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03.11.2023
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job