FUNDI UMEME
Job Role Insights
-
Date posted
2023-10-31
-
Closing date
2023-10-31
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
|
|
|
30.10.2023
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA
FUNDI UMEME.
Tunatangaza nafasi moja ya FUNDI UMEME
SIFA ZA MWOMBAJI : -
- Awe amesoma chuo cha VETA na kupatiwa cheti cha ufundi.
- Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili.
- Awe Mtanzania mwenye kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA.
- Awe mkazi wa Dar es Salaam.
- Umri usizidi miaka 30.
- Awe mwaminifu na mchapa kazi.
TUMA BARUA YA MAOMBI, WASIFU (C.V), PAMOJA NA VYETI VYA TAALUMA YAKO KWENYE ;
Email ; [email protected]
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 03.11.2023
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job