Job Role Insights
-
Date posted
2024-07-04
-
Closing date
2024-07-04
-
Hiring location
Tanga
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Experience
3 - 5 Years
-
Quantity
2 person
-
Gender
both
Job Description
NAFASI ZA KAZI: AL-KHEIR ISLAMIC GIRLS' SEMINARY TANGA.
- MWALIMU WA MATHEMATICS & PHYSICS.
SIFA
- AWE NA SHAHADA AU ZAIDI KUTOKA CHUO KINACHOTAMBULIKA
- AWE MZOEFU WA KUFUNDISHA MASOMO HAYO SIO CHINI YA MIAKA 2
- AWE MTANZANIA
- NAFASI YA MATRON
- AWE MTANZANIA
- ELIMU KIDATO CHA MNE NA KUENDELEA &: KASOMA NA KUHITIMI MADRASA
- AWE NA UZOEFU WA MALEZI YA WANAFUNZI.
MAOMBI YATUMWE MOJA KWA MOJA SHULENI AL-KHEIR AU KUPITIA [email protected]
Mawasiliano
0712206200
0785206200
Skills
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job