
POST: MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST ) – 7 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-03-06
-
Closing date
2025-03-06
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Certificate Degree Diploma Doctorate (Ph.D.) Doctorate Degree Master’s Degree
-
Experience
1 - 2 Years 3 - 5 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
Job Description
POST: MTEKNOLOJIA MACHO DARAJA LA II (TECHNOLOGIST OPTOMETRIST ) - 7 POST
EMPLOYER: Wizara ya Afya
APPLICATION TIMELINE:: 2025-03-06 2025-03-19
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kufanya uchunguzi wa upeo wa kuona na kutibu ii.Kurufaa wagonjwa kwenye ngazi za juu, zinazohitaji utaalamu zaidi iii.Kutoa ushauri nasaha iv.Kutunza na kurekebisha uharibifu wa vifaa vya macho v.Kutengeneza miwani na kurekebisha miwani aina zote vi.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada katika fani ya teknolojia ya macho kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, ambao wamesajiliwa na Mabaraza yanayohusika.
REMUNERATION: TGHS B (MOH)
Interested in this job?
0 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job