Applying for

Nafasi za Kazi za Kujitolea 143 Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

Kilwa District Council · Lindi

How to Apply

Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono zikiwa na anwani kamili ya mwombaji pamoja na namba ya simu. Maombi yote yatumwe kwa njia ya Posta kwa: Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa S.L.P 160 Kilwa Masoko Tarehe ya Mwisho ya Kupokea Maombi: 14/10/2026, saa 9:30 alasiri.
Back to Job

Get in touch