POST: MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II) – 20 POST

by MDAs & LGAs in
99 (views)

Job Role Insights

  • Date posted

    2025-04-28

  • Closing date

    2025-05-12

  • Hiring location

    Tanzania

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree Degree High School Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    10 person

  • Gender

    both

  • Job ID

    97030

Job Description

POST: MHASIBU DARAJA LA II (ACCOUNTANT II),. - 20 POST

EMPLOYER: MDAs & LGAs

APPLICATION TIMELINE:: 2025-04-28 2025-05-11

JOB SUMMARY: NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  •   i.Kuandika taarifa ya mapato na matumizi
  •   ii.Kuandika taarifa za maduhuli
  •   iii.Kupokea maduhuli ya serikali na kupeleka Benki kwa wakati
  •   iv.Kufanya usuluhisho wa hesabu za Benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha
  •   v.Kukagua hati za malipo
  • na   vi.Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na Mkuu wake wa kazi.  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita wenye shahada ya Uhasibu au Biashara waliojiimarisha kwenye fani ya Uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu kutoka Taasisi inayotambuliwa na Serikali pamoja na cheti cha Taaaluma ya Uhasibu CPA(T) au sifa inayolingananayo inayotambuliwa na NBAA.

REMUNERATION: TGS.E

Interested in this job?

This job has expired

Apply now

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

How to Apply

Apply now