FUNDI UMEME, AFISA MASOKO NA MENEJA UTAWALA

60 (views)

Job Role Insights

  • Date posted

    2024-04-17

  • Closing date

    2024-04-17

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    both

Job Description

        NAFASI ZA KAZI.              17.04.2024

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni iliyosajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele zenye nembo ya ‘’ANGELS’’. Tunapatikana Mbagala Dar es Salaam karibu na shule ya St Mary’s Mbagala.

 

SIFA KWA NAFASI ZOTE ZINAZOTANGAZWA : -

      -Awe na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili.

-Awe Mtanzania mwenye kitambulisho au namba ya NIDA.

-Awe mkazi wa Dar es Salam.

-Umri usizidi miaka 30.

-Awe mwaminifu na mwenye kijiamini.

-Ajue kuandika na kuzungumza kiingereza kwa ufasaha.

 

TUNATANGAZA NAFASI ZIFUATAZO : -

 

  • FUNDI UMEME (nafasi moja).

      >SIFA ZA MWOMBAJI :

-Awe amesomea umeme na kutunukiwa cheti kutoka VETA au chuo chochote kinachotambulika.

 

  • MENEJA UTAWALA (nafasi moja).

>SIFA ZA MWOMBAJI : -

-Awe amesomea na kuhitimu kozi yoyote na aweze kusimamia.

-Awe anaujua kutumia Kompyuta.

 

  • AFISA MASOKO (nafasi moja).

>SIFA ZA MWOMBAJI : -

      -Awe na elimu ya biashara na masoko.

      -Awe anajua kutumia Kompyuta.

      -Awe mbunifu kwenye soko la ushindani.

      -Awe mwenye kujiamini na kushawishi wateja kwenye biashara.

      -Awe na uwezo wa kutumia mitandao ya kijamii kwenye masuala ya kibiashara.

 

MOMBI YOTE YATUMWE KWENYE EMAIL : [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 30.04.2024.

Interested in this job?

0 days left to apply

Apply for this job

Cancel
Send message
Cancel