MANAGER
Job Role Insights
-
Date posted
2024-03-13
-
Closing date
2024-03-20
-
Hiring location
Dar es Salaam
-
Offered salary
Negotiable Price
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
male
-
Job ID
22182
Job Description
11.03.2024
TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MENEJA UTAWALA.
Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam maeneo ya Mbagala Kokoto ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.
Tunatangaza nafasi moja ya Meneja Utawala.
SIFA ZA MWOMBAJI : -
- Amesomea na kuhitimu kozi yoyote na aweze kusimamia wasaidizi wake.
- Awe anajua kutumia kompyuta.
- Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja kwenye utawala.
- Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA
- Aweze kushauri, kusimamia na kufuatalia masuala / rasilimali mbalimbali kwenye kampuni.
Tuma barua ya maombi, wasifu (c.v) pamoja na vyeti vya taaluma kwenye email : [email protected]
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17.03.2024
Skills
Interested in this job?
This job has expired
Share this opportunity
Help others find their dream job