Job Role Insights

  • Date posted

    2024-03-13

  • Closing date

    2024-03-20

  • Hiring location

    Dar es Salaam

  • Offered salary

    Negotiable Price

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Bachelor Degree

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    1 person

  • Gender

    male

  • Job ID

    22182

Job Description

11.03.2024

 

TANGAZO LA KAZI NAFASI YA MENEJA UTAWALA.

 

Sana Industries (T) Ltd ni kampuni inayopatikana Mbagala Dar Es Salaam maeneo ya Mbagala Kokoto ambayo imesajiliwa kwa kuzalisha na kuuza nywele bandia za binadamu zenye nembo ya ‘’ANGELS’’.

 

Tunatangaza nafasi moja ya Meneja Utawala.

 

SIFA ZA MWOMBAJI : -

  1. Amesomea na kuhitimu kozi yoyote na aweze kusimamia wasaidizi wake.
  2. Awe anajua kutumia kompyuta.
  3. Awe na uzoefu zaidi ya mwaka mmoja kwenye utawala.
  4. Awe na kitambulisho cha Taifa au namba za NIDA
  5. Aweze kushauri, kusimamia na kufuatalia masuala / rasilimali mbalimbali kwenye kampuni.

 

 

Tuma barua ya maombi, wasifu (c.v) pamoja na vyeti vya taaluma kwenye email : [email protected]

Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 17.03.2024

Interested in this job?

This job has expired

Your job search, in your pocket

Get the ZoomTanzania Jobs app - apply on the go, get instant job alerts, and chat with our AI assistant anytime, anywhere.

Apply for this job

Your full application — including your cover letter, phone number, email, and CV — will be sent directly to the employer's inbox. You will also receive a confirmation email.

Cancel