Nafasi za Kazi 6 Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC)
Job Role Insights
-
Date posted
2026-08-16
-
Closing date
2026-08-28
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Degree Diploma
-
Experience
2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
141469
Job Description
The total number of job posts listed here for the Judicial Service Commission (Tume ya Utumishi wa Mahakama - JSC) is 6 posts in August 2026.
This judicial administration recruitment targets legal officers, accounting staff, secretarial support, records management, and office operations across the judicial system.
| Job Title / Specialization | Posts |
| Hakimu Mkazi II (Resident Magistrate Grade II) | 1 |
| Afisa Hesabu II (Accounting Officer Grade II) | 1 |
| Mwandishi Mwendesha Ofisi II (Office Management Secretary Grade II) | 1 |
| Msaidizi wa Kumbukumbu II (Records Management Assistant Grade II) | 1 |
| Msaidizi wa Hesabu II (Accounting Assistant Grade II) | 1 |
| Msaidizi wa Ofisi (Office Assistant) | 1 |
| TOTAL POSTS | 6 |
Afisa Hesabu II
Category: Accounting and Finance
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki kuandika taarifa ya mapato na matumizi.
- Kushirikiana na Mhasibu kuandaa taarifa za maduhuli.
- Kushiriki kufanya usuluhisho wa hesabu za benki na nyingine zinazohusiana na masuala ya fedha.
- Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara.
- Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi.
- Kutunza daftari la amana.
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications and Experience
Holder of a degree in one of the following fields:
- Bachelor of Accounting and Finance
- Bachelor Degree in Accounting and Finance
- Bachelor of Accounting and Finance in Public Sector
- Bachelor of Accounting and Finance in Business Sector
- Bachelor of Science in Accounting and Finance
- Bachelor of Business Administration in Accounting and Finance
- Bachelor of Accounting and Finance with IT
- Bachelor of Accountancy and Finance
- Bachelor in Public Sector Accounting and Finance
- Bachelor’s Degree in Accounting and Finance (BAF)
- Bachelor Degree in Accounting and Finance (BDAF)
- Bachelor of Business Administration in Accounting
- Bachelor of Commerce in Accounting
- Bachelor of Accounting and Taxation
- Bachelor of Business Administration (Accounting)
- Bachelor of Accounting with Computing
- Bachelor of Accounting
- Bachelor of Accounting with Information Technology
- Bachelor of Accountancy
- Bachelor in Accountancy (BAC)
- Bachelor’s Degree in Accountancy (BACC)
Alternatively, a professional qualification in Intermediate Certificate (Module D) or equivalent qualification from a recognized institution.
- Work experience: 0 years
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Mwandishi Mwendesha Ofisi II
Category: Secretarial Studies
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida na za siri.
- Kupokea wageni na kuwauliza kuhusu mahitaji yao na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kuhudumiwa.
- Kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake na ratiba ya kazi nyingine.
- Kutafuta majalada na nyaraka zinazohitajika katika utekelezaji wa majukumu ya kazi.
- Kupokea majalada na kuyasambaza kwa maofisa walio katika Idara, Kitengo au Sehemu husika.
- Kukusanya, kutunza na kuyarejesha majalada na nyaraka sehemu zinazohusika.
- Kupanga dondoo na kufanya maandalizi ya vikao mbalimbali.
Qualifications and Experience
- Diploma or FTC in Secretarial Studies and Administration or an equivalent qualification from a recognized institution.
- Work experience: 0 years
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Msaidizi wa Kumbukumbu II
Category: Records Management
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kupokea wateja na kuwaelekeza taratibu za kimahakama na za kiutawala.
- Kuainisha, kufungua, kupanga, kutunza na kuhuisha majalada ya mashauri na kiutawala na kuyapa namba za kiendeksia.
- Kufungua mashauri ya Jinai na Madai.
- Kutunza na kuhuisha taarifa za mashauri ya Jinai na Madai yanayoendelea.
- Kuandaa na kuhuisha orodha ya mashauri ya kila wiki.
- Kuandaa wito wa kuitwa kwenye shauri (summons) la jinai au madai.
- Kuhakikisha kumbukumbu na nyaraka zinazotoka na kuingia zinakidhi miongozo ya uandishi wa madokezo, barua na taarifa.
- Kuweka na kupanga kumbukumbu na nyaraka katika majalada na makabati (file racks/cabinets).
- Kusambaza nyaraka na kumbukumbu za kimahakama na za kiutawala.
- Kutunza kumbukumbu za kimahakama na za kiutawala zinazozalishwa kielektroniki.
- Kuandaa kumbi na vyumba vya kusikiliza mashauri pamoja na kuhakikisha wahusika wanafika kwa wakati.
- Kupokea, kusajili na kutunza vidhibiti vya mashauri.
- Kutoa nakala za mwenendo, hukumu na amri kwa wadaawa.
- Kuandaa na kuwasilisha majalada ya mashauri katika Mahakama husika.
- Kuandaa takwimu mbalimbali za mashauri ya jinai na madai ya kimahakama.
- Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
Qualifications and Experience
Diploma or FTC in one of the following fields:
- Diploma in Law
- Ordinary Diploma in Law
- Diploma in Law with Shariah
- Diploma in Records, Archives and Information Management
- Ordinary Diploma in Records, Archives and Information Management
Or an equivalent qualification from a recognized institution.
- Work experience: 0 years
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Msaidizi wa Hesabu II
Category: Accounting and Finance
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kutunza daftari la fedha la matumizi ya kawaida na maendeleo.
- Kutunza nyaraka za hati za malipo.
- Kuingiza mapato na matumizi kwenye vitabu vya fedha.
- Kuandika taarifa mbalimbali za fedha zilizopokelewa.
- Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications and Experience
Holder of a certificate in one of the following fields:
- Certificate in Accounting and Finance
- Certificate in Accountancy and Finance
- Certificate in Accountancy
Or a professional qualification in:
- Accounting Technician Certificate (ATEC)
Or an equivalent qualification from a recognized institution.
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Hakimu Mkazi II
Category: Law and Legal
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kuandaa mpango wa kusikiliza mashauri ya awali ya Jinai na Madai.
- Kusikiliza mashauri ya awali ya Jinai na Madai.
- Kusikiliza mashauri ya awali ya ndoa na mirathi.
- Kuandaa na kutoa hukumu kuhusu mashauri yote aliyosikiliza.
- Kutoa amri mbalimbali za kimahakama anazoruhusiwa kisheria.
- Kusuluhisha mashauri.
- Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.
- Kufanya utafiti wa kisheria na kutoa ushauri.
- Kufanya kazi zingine atakazopangiwa na msimamizi wake.
Qualifications and Experience
Holder of a degree in one of the following fields:
- Bachelor of Laws
- Bachelor of Law with Shariah
And a professional qualification in:
- Post Graduate Diploma in Legal Practices
Or an equivalent qualification from a recognized institution.
- Work experience: 0 years
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Msaidizi wa Ofisi
Category: Office Assistant
Deadline: 28th August 2026
Duties and Responsibilities
- Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani, ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua au miti na kusafisha vyoo.
- Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa wanaohusika na kuyarejesha sehemu zinazohusika.
- Kusambaza barua za ofisi kama atakavyoelekezwa.
- Kutayarisha chai ya ofisi.
- Kupeleka mfuko wa posta na kuchukua barua kutoka Posta.
- Kuhakikisha kwamba vifaa vya ofisi vinawekwa sehemu inayostahili.
- Kufungua milango na madirisha ya ofisi wakati wa asubuhi na jioni na kuyafunga baada ya saa za kazi.
- Kudurufu barua au machapisho kwenye mashine za kudurufia.
- Kuweka majalada na nakala za barua zilizochapwa katika ofisi walizomo.
- Kutunza vifaa vya ofisi na kutoa ripoti kila vinapoharibika.
Qualifications and Experience
Holder of a certificate in one of the following fields:
- Certificate in Office Attendant
- Certificate of Office Management
- Certificate of Messangerial Course
- Office Clerk
Or an equivalent qualification from a recognized institution.
- Minimum age: 18 years
- Maximum age: 45 years
Application Deadline
28th August 2026
Interested in this job?
12 days left to apply
