
POST: AFISA BIASHARA MSAIDIZI (ASSISTANT TRADE OFFICER ) – 40 POST
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-10
-
Closing date
2025-08-22
-
Hiring location
Tanzania
-
Career level
Middle
-
Qualification
Advanced Diploma Diploma
-
Experience
1 - 2 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
121496
Job Description
POST: AFISA BIASHARA MSAIDIZI (ASSISTANT TRADE OFFICER ) - 40 POST
EMPLOYER: MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE:: 2025-08-09 2025-08-22
JOB SUMMARY: N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
- Kuandaa takwimu za mahitaji kutokana na bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
- Kuandaa takwimu zinazoonyesha tofauti kati ya mahitaji na uzalishaji.
- Kukusanya na kuunganisha nyaraka za Sera za biashara na Sheria za biashara.
- Kunadaa sifa ya biashara na huduma ambazo zinauzwa nchi za nje kwa kila sekta.
- Kukusanya takwimu za biashara, kuzichambua na kutathmini mwenendo wa biashara.
- Kukusanya takwimu za biashara kutoka kwa wafanyabiashara ambao wanauza na kununua kutoka masoko ya nje.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
Kuajiriwa wenye Stashahada ya Biashara kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali.
REMUNERATION: TGS.C
Interested in this job?
11 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job