Job Role Insights

  • Date posted

    2025-05-27

  • Closing date

    2025-06-05

  • Hiring location

    Dodoma

  • Career level

    Middle

  • Qualification

    Certificate Degree Diploma Secondary Education Undergraduate Degree Vocational / Technical

  • Experience

    1 - 2 Years

  • Quantity

    8 person

  • Gender

    both

Job Description

POST: MPIGA CHAPA MSAIDIZI DARAJA II (ASSISTANT PRINTER II) - 8 POST

EMPLOYER: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

APPLICATION TIMELINE:: 2025-05-23 2025-06-05

JOB SUMMARY: NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

  • Kukunja karatasi ngumu na kutengeneza ‘covers’ za vitabu, majarida, madaftari katika mahitaji mbalimbali kwa kugandisha, kuweka pamoja au kushona katika hali  mbalimbali za ubora. ii.Kukarabati vitabu, kumbukumbu mbalimbali au majarida kwa kuyawekea gamba jipya au kurudisha katika hali yake ya mwanzo kutegemea na kifaa hicho kilivyoharibika. iii.Kupanga vifaa vilivyotengenezwa katika makasha kwa vipimo vyake au katika seti. iv.Kuendesha mashine ya kukata karatasi/kupiga chapa/mashine za composing, kushona au kugandisha vitabu, majarida, madaftari na vifaa vingine vinavyokuwa vimetakiwa kwa mtindo na ubora wake. v.Kupanga karatasi zitakazochapwa kwa hesabu ya kila kitabu, jarida, daftari na vinginevyo kwa kushonwa au kugandishwa pamoja.  

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha Nne au sita katika masomo ya Sayansi au Sanaa wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la I (Trade Test Grade I au Level III) katika lithography/composing/binding/machine binding au waliohitimu mafunzo ya miaka miwili ya kupiga chapa.

REMUNERATION: TGS B

Interested in this job?

7 days left to apply

Apply now

Share this opportunity

Help others find their dream job

How to Apply

Apply now
Send message
Cancel