Nafasi za Kazi 141 Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
Job Role Insights
-
Date posted
2026-01-11
-
Closing date
2026-01-24
-
Hiring location
Dodoma
-
Career level
Middle
-
Qualification
Bachelor Degree Degree Diploma Master’s Degree
-
Experience
3 - 5 Years
-
Quantity
10 person
-
Gender
both
-
Job ID
126798
Job Description
The National Audit Office (NAO) of Tanzania is an independent, parliamentary body responsible for auditing government finances, agencies, and public bodies, ensuring accountability and value for money (economy, efficiency, and effectiveness) in the use of public resources, headed by the Controller and Auditor General (CAG) appointed by the President. Established under the Public Audit Act, 2008, the NAO provides high-quality audit services to enhance public confidence and operates with financial and operational independence.
The total number of job posts listed here for the National Audit Office of Tanzania (Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi - NAOT) is 141 posts in January 2026.
| Job Title | Posts |
| 1.0 Auditor II - Tax Management (MKAGUZI DARAJA LA II - MENEJIMENTI YA KODI) | 2 |
| 2.0 Auditor II - Actuarial Science (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA SAYANSI YA TAKWIMU BIMA) | 1 |
| 3.0 Auditor II - Architecture (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA USANIFU WA MAJENGO) | 1 |
| 4.0 Auditor II - Civil Engineering (MKAGUZI DARAJA LA II– FANI YA UHANDISI WA UJENZI) | 2 |
| 5.0 Auditor II - Quantity Surveying (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI UKADIRIAJI UJENZI) | 1 |
| 6.0 Auditor II - Electrical Engineering (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA UMEME) | 1 |
| 7.0 Auditor II - Land Use Planning (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI) | 1 |
| 8.0 Auditor II - Land Valuation (MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA UTHAMINISHAJI ARDHI) | 1 |
| 9.0 Auditor II - Biomedical Engineering (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA VIFAA TIBA TIBA) | 1 |
| 10.0 Auditor II - Geoinformatics (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA SAYANSI YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA) | 1 |
| 11.0 Auditor II - Irrigation and Water Resources Engineering (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA UMWAGILIAJI NA RASILIMALI ZA MAJI) | 1 |
| 12.0 Auditor II - Water Supply and Sanitation Engineering (MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA UHANDISI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA) | 2 |
| 13.0 Auditor II - Social Welfare (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA USTAWI WA JAMII) | 1 |
| 14.0 Auditor II - Public Health (MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA AFYA YA JAMII) | 1 |
| 15.0 Auditor II - Pharmacy (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA FAMASIA) | 1 |
| 16.0 Auditor II - Veterinary Medicine (MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UDAKTARI WA MIFUGO) | 1 |
| 17.0 Information Officer II - Journalism (AFISA HABARI DARAJA LA II -FANI YA UANDISHI WA HABARI) | 1 |
| 18.0 Information Officer II - Graphic Design (AFISA HABARI DARAJA LA II - FANI YA UBUNIFU WA MICHORO) | 1 |
| 19.0 Auditor II (MKAGUZI DARAJA LA II) | 121 |
| TOTAL POSTS | 141 |
MKAGUZI DARAJA LA II - (MENEJIMENTI YA KODI)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
2 Positions
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki;
- Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi; vii. Kushirikiana na Wakaguliwa kujadili masuala yanayoathiri maendeleo ya ukaguzi;
- Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
- Kutathmini mipango ya kazi na kuandaa marekebisho ya msingi na kuyawasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kutayarisha hoja, barua za ukaguzi na taarifa za kila mwaka; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Menejimenti ya Kodi (Bachelor of Tax Management) kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA SAYANSI YA TAKWIMU BIMA (ACTUARIAL SCIENCE)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki;
- Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi;
- Kushirikiana na Wakaguliwa kujadili masuala yanayoathiri maendeleo ya ukaguzi;
- Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
- Kutathmini mipango ya kazi na kuandaa marekebisho ya msingi na kuyawasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kutayarisha hoja, barua za ukaguzi na taarifa za kila mwaka; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza katika Bima (Bachelor Degree in Insurance) au Shahada ya Sayansi katika Takwimu za Bima (Bachelor of Science in Acturial Science) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA USANIFU WA MAJENGO (ARCHITECTURE)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa/zilizopokelewa;
- Kukusanya na kutunza ushahidi wa kaguzi;
- Kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za kaguzi;
- Kukusanya, kutunza taarifa za ukaguzi katika mpangilio mzuri; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Usanifu wa Majengo (Bachelor of Architecture) kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali na waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II– FANI YA UHANDISI WA UJENZI (CIVIL ENGINEERING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
2 Positions
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa/zilizopokelewa;
- Kukusanya na kutunza ushahidi wa kaguzi;
- Kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za kaguzi;
- Kukusanya, kutunza taarifa za ukaguzi katika mpangilio mzuri; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Uhandisi wa Ujenzi (Bachelor of Science in Civil Engineering ) kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI UKADIRIAJI UJENZI (QUANTITY SURVEY)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa ya ukaguzi kwa ajili ya tuhuma zilizotolewa/zilizopokelewa;
- Kukusanya na kutunza ushahidi wa kaguzi;
- Kuchanganua taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za kaguzi;
- Kukusanya, kutunza taarifa za ukaguzi katika mpangilio mzuri; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji na Uchumi wa Ujenzi (Bachelor of Science in Quantity Surveying and Construction Economics) au Shahada ya Sayansi katika Ukadiriaji Ujenzi na Ukarabati wa Majengo (Bachelor of Science in Building Surveying and Construction Maintenance) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA UMEME (ELECTRICAL ENGINEERING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza ya Uhandisi wa Umeme ( Bachelor of Electrical Engineering) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI (LAND USE PLANNING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Kwanza katika Uendelezaji Miji na Usimamizi wa Mazingira (Bachelor Degree in Urban Development and Environmental Management) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA UTHAMINISHAJI ARDHI (LAND VALUATION)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Usimamizi na Upimaji wa Ardhi (Bachelor of Science in Land Management and Valuation) kutoka katika vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA VIFAA TIBA TIBA (BIOMEDICAL ENGINEERING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi wa Vifaa Tiba (Bachelor of Science in Biomedical Engineering) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA SAYANSI YA TAARIFA ZA KIJIOGRAFIA (GEOINFORMATICS)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Taarifa za Kijiografia na Utambuzi (Bachelor of Science in Geographical Information Systems and Remote Sensing) au Shahada ya Sayansi ya Taarifa za Kijiografia (Bachelor of Science in Geomatics) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UHANDISI WA UMWAGILIAJI NA RASILIMALI ZA MAJI (IRRIGATION AND WATER RESOURCES ENGINEERING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Uhandisi wa Umwagiliaji na Rasilimali za Maji ( Bachelor of Irrigation and Water Resources Engineering) au Shahada ya Uhandisi wa Rasilimali za Maji ( Bachelor of Water Resources Engineering) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA UHANDISI WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA (WATER SUPPLY AND SANITATION ENGINEERING)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
2 Positions
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Rasilimali Maji (Bachelor of Science in Water Resources Engineering), au Shahada ya Sayansi katika Uhandisi wa Mazingira (Bachelor of Science in Environmental Engineering) au Shahada ya Maendeleo ya Jamii katika Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira (Bachelor Degree in Community Development for Water Supply and Sanitation) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA USTAWI WA JAMII (SOCIAL WELFARE)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Ustawi wa Jamii (Bachelor of Social work) au Shahada ya Sosholojia (Bachelor of Sociology) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II- FANI YA AFYA YA JAMII (PUBLIC HEALTH)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Afya ya Umma (Bachelor of Public Health) au Shahada ya Sayansi ya Afya (Bachelor of Health Science) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA FAMASIA (PHARMACY)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya Famasia (Bachelor of Pharmacy) kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Wafamasia Tanzania (PC).
Remuneration
SAIS. E
MKAGUZI DARAJA LA II - FANI YA UDAKTARI WA MIFUGO (VETERINARY MEDICINE)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuainisha maeneo ya ukaguzi wa ufanisi na kutunza kumbukumbu zake;
- Kushiriki katika kuandaa mipango kazi ya ukaguzi;
- Kukusanya na kutunza taarifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi;
- Kushiriki katika kufanya na kutayarisha taarifa za upembuzi yakinifu, mipango kazi na randama ya tafiti za awali;
- Kushiriki katika uchanganuzi wa taarifa na kuandaa rasimu za taarifa za ukaguzi;
- Kuainisha maeneo yanayoweza kukaguliwa na kutunza taarifa za ukaguzi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Tiba ya Wanyama (Veterinary Medicine) kutoka Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali aliyesajiliwa na Baraza la Veterinari Tanzania (VCT).
Remuneration
SAIS. E
AFISA HABARI DARAJA LA II -FANI YA UANDISHI WA HABARI
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kukusanya na kuandika habari;
- Kupiga picha mnato na picha mjongeo;
- Kuandaa picha za maonyesho;
- Kuhifadhi picha na kuhudumia Maktaba na marejeo;
- Kuandaa majarida na mabango;
- Kukusanya takwimu mbalimbali za habari;
- Kukusanya majarida na Vipeperushi; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sanaa katika Uandishi wa Habari (Bachelor of Arts in Journalism) au Shahada ya Sanaa katika Mawasiliano ya Umma (Bachelor of Arts in Mass Communication) kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS D
AFISA HABARI DARAJA LA II - FANI YA UBUNIFU WA MICHORO - (GRAPHIC DESIGN)
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
1 Position
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kusimamia mifumo ya mawasiliano ya kidijitali ya Ofisi kama vile tovuti na mitandao ya kijamii;
- Kufanya ufuatiliaji na uchambuzi wa habari mbalimbali zinazohusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi;
- Kupiga na kuhariri picha mnato na picha mjongeo kwa ajili ya mawasiliano ya ndani na nje ya taasisi;
- Kuandaa picha na kubuni michoro yenye maudhui ya ukaguzi kwa ajili ya ripoti za ukaguzi, ripoti za wadau na maonesho;
- Kushiriki kampeni za mawasiliano ya kidijitali za Ofisi;
- Kutunza kanzidata ya ubunifu na kumbukumbu za mawasiliano; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya “Multimedia Technology” (Bachelor of Science in Multimedia Technology) au Shahada ya Sanaa katika Ubunifu wa Michoro (Bachelor of Arts in Graphic Design kutoka katika Vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGS D
MKAGUZI DARAJA LA II
Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
121 Positions
Application Period
10/01/2026 - 24/01/2026
Duties and Responsibilities
- Kushiriki katika kuandaa na kutekeleza mpango wa ukaguzi (audit programme);
- Kushiriki katika kuandaa taarifa za kila robo mwaka na kuziwasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kukagua hati za malipo, stakabadhi na akaunti za benki;
- Kufanya uchunguzi wa mifumo ya udhibiti wa ndani na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kufanya ukaguzi wa kushtukiza wa fedha na kuandaa taarifa na hoja za ukaguzi;
- Kutekeleza mwongozo wa ukaguzi wa Ofisi;
- Kushirikiana na Wakaguliwa kujadili masuala yanayoathiri maendeleo ya ukaguzi;
- Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;
- Kutathmini mipango ya kazi na kuandaa marekebisho ya msingi na kuyawasilisha kwa msimamizi wa kazi;
- Kutayarisha hoja, barua za ukaguzi na taarifa za kila mwaka; na
- Kufanya kazi nyingine zinazoendana na fani yake kadri atakavyopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Biashara/Sanaa yenye mwelekeo wa Uhasibu au Shahada ya kwanza ya Uhasibu na Mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Bachelor of Accounting with Information Technology) au Shahada ya kwanza ya Uhasibu na Fedha (Bachelor of Accounting and Finance) au Shahada ya Kwanza ya Uhasibu na Fedha katika Sekta ya Umma (Bachelor in Public Sector Accounting and Finance) kutoka vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
SAIS. E
Interested in this job?
9 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job