ANAHITAJIKA MDADA WA KUSIMAMIA OFISI YA WAKALA WA MIAMALA

124 (views)

Job Role Insights

 • Date posted

  2023-09-20

 • Closing date

  2023-09-20

 • Hiring location

  Dar es Salaam

 • Offered salary

  Negotiable Price

 • Career level

  Fresher

 • Qualification

  Certificate

 • Experience

  1 - 2 Years

 • Quantity

  1 person

 • Gender

  female

Job Description

Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.

vigezo.

awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.

awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.

asiwe mtu wa hasira au dharau.

awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi.

Awe tayar kuingia ofisini siku zote mpk jumapili.

Awe na uwezo mzuri kwenye mahesabu na kusimamia mahesabu ipasavyo.

Uwezo wa kutumia computer vizur utakuongezea thamani.

Awe anatokea maeneo ya karibu na Buguruni ilipo ofisi.

Mshahara utategemeana na commission itakavyotoka ila mwezi wa kwanza kazini utapewa nauli ya kukufikisha kazini kila siku.

Kama upo tayar na umekidhi vigezo Basi tuma ujumbe kwa namba hii 0627218573 sms za kawaida na whatsapp tu.

Interested in this job?

0 days left to apply

Call employer
0627218573
Job Alert
Subscribe to receive instant alerts of new relevant jobs directly to your email inbox.
Subcrible
Send message
Cancel