
MHUDUMU WA BOTI DARAJA LA II (DECKHAND AUXILLIARY II) WANGING’OMBE
Job Role Insights
-
Date posted
2025-08-19
-
Closing date
2025-09-01
-
Hiring location
Njombe
-
Career level
Middle
-
Qualification
Certificate Degree Diploma High School Certificate O-Level Secondary Education Vocational / Technical
-
Experience
2 Years
-
Quantity
1 person
-
Gender
both
-
Job ID
121909
Job Description
Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe
1 Position
Application Period
19/08/2025 - 01/09/2025
Duties and Responsibilities
i)Kuangalia usalama wa boti za Uvuvi;
ii)Kufanya usafi wa boti za Uvuvi;
iii)Kutunza usafi wa zana za uvuvi na vyombo vya kuhifadhia samaki;
iv)Kufanya matengenezo madogo madogo ya zana za uvuvi; na
v)Kufanya kazi nyingine za fani yake atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi.
Qualifications
Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV na wenye Cheti cha mafunzo ya Teknolojia ya Uvuvi kutoka Vyuo vya Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (Fisheries Education and Training Agency – FETA) au wenye cheti cha mafunzo ya Uhudumu wa Meli kutoka Chuo cha Ubaharia cha Dar es Salaam – DMI au sifa inayolingana na hiyo kutoka vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
Remuneration
TGOS A,
Interested in this job?
13 days left to apply
Share this opportunity
Help others find their dream job